Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,381
na bora unaenda kuangalia hooters manake baada kipigo wale wakina dada watakuliwaza na maziwa yao lol.
Hooters patalipuka pindi Dempsey atapocheka na nyavu....yaani leo niko excited ile kichizi. Mniwie radhi kwa kuiteka nyara mada....najua muda bado...
duh uruguay anakoswakoswa hapa....s.korea wamekuja juu 2nd half..........
toka mwanzo wakorea walikuwa wanaonesha upinzani mzuri nasitoshangaa kwenda over time hapa.
kitu hicho mkuu kama vipi watupeleke over time hili itusogeze zaidi kwenye mechi ya ghana vs usa.