USA hawawezi kuwafunga Ghana poleni washabiki wa Obama and co. mwambieni tu Bill Clinton arudi nyumbani aendelee kula tende.
duh....hawaaminiki WAAFRIKA ndugu yangu......japo uwezo wanao............
Sasa world cup ndio imeanza rasmi na mchii mie nashangilia Uruguaaaay, Forlaaaan ana goli zake 2 leo.
mimi niko korea.....as underdogs..........
go usa....
Yaani leo siambiwi wala sisikii la mtu..ni usa all the way...nina red, white, and blue na gemu nitaenda kuiangalia hooters...lol
hivi kumbe nimepotea njia?
Mkuu Ghana anamfunga USA leo vizuri tu.
Go USA....
Yaani leo siambiwi wala sisikii la mtu..ni USA all the way...nina red, white, and blue na gemu nitaenda kuiangalia Hooters...LOL
Hivi kumbe nimepotea njia?
Duh mara hii......wakorea wana long afternoon.......
he he he rudi baadae kidogo......mkuu ulipotea ulikuwa honolulu na akina kobe mnajipongeza???