World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Teh teh teh teh kazi kweli kweli bingwa mtetezi anatimulia roundi ya awali!
 
Bye bye Italy.....game tamu sana hii jamani(kwangu mimi tangu WC imeanza hii ndo game ilonifurahisha)
 
_48165766_hamsik_reuters.jpg
 
wanaaribu wenyewe slovakia kitu hiko kimeisha.goli la tatu lile la slovakia kweli waliwakuta waitaliano wameuchapa usingizi.

huko mbele ya safari kuna timu zitapata ''VIBONDE'' tu....................
 
Teh teh teh teh kazi kweli kweli bingwa mtetezi anatimulia roundi ya awali!

mkuu hata sijafurahia ndugu zangu watolewe mapema....tugange yajayo (For the first time in World Cup history, both the previous finalists from the last tournament are set to fall at the opening stage.....Yahoo)
 
.....duuuh!!....(Holders Italy attempt to join other under-performing European powers in the second round of the World Cup as they face Slovakia.............italy).....sasa nihamie England......
 
Italy finito!. Bingwa wa WC mwaka huu itakuwa ni suprise ya mwaka~mambo si mambo.
 
Italy si tu wametolewa bali ni wa mwisho (wameshika mkia) kwenye kundi lao......nilipenda Italy isonge mbele....mapema tumetolewa.....Jamani ambae alikuwa anashabikia Italy anipe thanks (inawezekana nilikuwa peke yangu.....Masanilo, bala, etc wenyewe je?)...........aaaaaaaaaaaaaaaarrrrrrgggg
 
Nimefurahi sana kwasababu sijawahi wapenda Italy, 2nd round nataka German watoke chap chap tena wanabahati wameikosa USA, hii ndiyo ingewagaragaza vizuri sana. Italy wamekosa defence tofauti na miaka mingine halafu wanacheza rafu mbaya sana.
 
Lol,Italy out kumbe!..yani sikuwatch mechi yao, bora waondok wameboa WC hii..I hope leo watalewa 'Lasagna'..Noumer!
 
Jamaa naona tumeisusa CMR, maana hata hakuna thread hapa. Mtoto wako hata kama atakuwa mwizi bado ni mwanao tu, tafadhali tuwape bye bye hawa Simba wa Nyika!.
 
Back
Top Bottom