World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Jamaa naona tumeisusa CMR, maana hata hakuna thread hapa. Mtoto wako hata kama atakuwa mwizi bado ni mwanao tu, tafadhali tuwape bye bye hawa Simba wa Nyika!.

Naona wameshakung'utwa kimoja na Orange team!..he he huzuni jamani!!!
 
Game lingine Japan anaongoza kwa 2 bila dhidi ya Denmark!..CMR see you next WC mki-qualify lakini!..jana nimeota Taifa Stars wame-qualify WC2014,mashalaah!
 
japan 2 denmark 0.....................wajapani wameipatia JABULANI.....wamefunga kwa 2 magnificent freekicks.........
 
With the Dutch already qualified and Cameroon already out, the match holds little importance, save for a chance to restore some pride to the Indomitable Lions.
 
kinachosikitisha Camerron wanatoka bila ka-point hata kamoja.
 
Cameroon wataondoka na goli 1 tu lililofungwa na Samwel Eto'o na mpaka sasa wameshafungwa goli 4. Aibu kabisa.
 
Aibu ilowakuta wa-Cameroon ni kama yaliyowafika wa Italiano, mabingwa watetezi, kundi rahisi kuliko yote, na bado wameshika mkia duu maajabu haya.
 
Cameroon wataondoka na goli 1 tu lililofungwa na Samwel Eto'o na mpaka sasa wameshafungwa goli 4. Aibu kabisa.

hawana tofauti na italia..ila msisimko wa WC kiujumla mwaka huu siyo mkubwa sana kwa mtazamo wangu!mechi nyingi hazikuburisha,labda hiyo 2nd round sijui itakuwaje!
 
leo umechelewa kwasababu cmr ndo wanaaga SA..denisha nao hamna kitu,Japan wanapita naona!!

hehehe mdachi yupo bize analigongomelea misumari JENEZA cameroun kule , na hapa mzee HONDA ashaweka cha tatu. long live WC
 
japan 3- denmark 1.....teh teh teh kumbe cameroun walijitahidi kufungwa 1-0 na jpn.......
 
kwanini makocha wa timu nyingi za kiafrika ni wazungu?huh

juzi adebayor alikuwa anaongelea hii ishu, lakini bahati mbaya aliongea mpaka akamaliza sijamuelewa chochote. lakini in short alisema hii kitu kwa nchi za black africans haiwezi kuepukika na akawapa exceptions arab africans kama egypt ,algeria, morocco etc
 
Back
Top Bottom