mpuuzi
Member
- May 29, 2010
- 99
- 17
3-1washapata kimoja
3-1washapata kimoja
wakisawazisha wanaenda 2nd round...........................
mkuu......nimependa AVATAR na JINA LAKO.......LOL....LOL...........
Avatar na jina vimeoana?
wanaaribu wenyewe slovakia kitu hiko kimeisha.goli la tatu lile la slovakia kweli waliwakuta waitaliano wameuchapa usingizi.Huu mpira umekataa kwisha jamani!!!!