Shakazulu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 957
- 283
matokeo ya new zealand vipi??
Bado hawajafungana
matokeo ya new zealand vipi??
akiwa mkia eeeeh......utasubiri mno
matokeo ya new zealand vipi??
France walitolewa kwenye round ya kwanza mwaka 2002 (Korea/Japan) wakiwa mabingwa watetezi
hehehe wewe jana ulikimbia sio? nina madafu yako ujuee
thanx.it happened 3 times so far..............
mkuu jumamosi nakuachia watoto wako wa Obama mie nashangilia nyumbani (Ghana) lool.Half-time...Slovakia 1 - 0 Italy
mkuu jumamosi nakuachia watoto wako wa Obama mie nashangilia nyumbani (Ghana) lool.
teh teh teh.....yaweke nitakunywa leo Italy wakishamsambaratisha mtu
mkuu jumamosi nakuachia watoto wako wa Obama mie nashangilia nyumbani (Ghana) lool.
jamaa perfomance yao imekuwa mbovu toka game za mwanzo sijui tatizo nini,naona wapo wapo tu.Hope Italy wanaweza badilika 2nd Half na kuibuka na ushindi