BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
we angalia tu goli la pili linaingia sasa hivi....germany oyeeee....sitaki presha mimi
BJ na PRETA nioneni ofisini. garama zenu za wiki nzima nitasimamia mimi heheheehhe
yametimia afrikani timu ndani ya last 16...........ghana vs USA anything can happen....
sat ghana vs usa
sun england vs germany
my prediction ghana na england wataingia robo fainali...............
Shosty bora nifanya manicure hapa mana huo uzalendo umenishinda kitambo!..liwalo na liwe au siyo mnorth korea wetu?ha ha
hehehe yule mshabiki wa NORTH KOREA (preta), kakimbilia wapi?
US hawatishi sana, ni wakati muafaka wa Ghana kusharpen umaliziaji.Ndivyo ilivyo! kwa perfomance kama hii ya leo sijui kama tutakuwa na furaha katika mechi ijayo.
Wewe wasu naona uzalendo ulikushinda sio.GOD BLESS GHANA!..Jamani wazalendo wote mliozisapoti African teams naona Mola kajibu maombi kwenye hii game ya Ghana!..
US hawatishi sana, ni wakati muafaka wa Ghana kusharpen umaliziaji.
Wewe wasu naona uzalendo ulikushinda sio.
Huwa si-sign out, kulala nalala sana ndio maana nina AFYA NJEMA na nipo ktk right spirits..he he he..Yeah......Ghana washindwe wao tu..........Btw unalala saa ngapi Mpemba?..........hahaaaaaaaaaaa
GOD BLESS GHANA!..Jamani wazalendo wote mliozisapoti African teams naona Mola kajibu maombi kwenye hii game ya Ghana!..
Yeah......Ghana washindwe wao tu..........Btw unalala saa ngapi Mpemba?..........hahaaaaaaaaaaa
kuna tv show ya world cup shaakira anahojiwa kuhusu WAKA WAKA anasema it means SHINE IN SWAHILI.......jamaa studio anamuuliza sio SHINE SHINE hivi shine sio ng'aa??