Fikiria huyu kocha wa Ghana kamuacha kabisa kwenye WC striker mzuri kama Junior Agogo.........Jamaa ana uchu hasa wa magoli lakini hayupo WC
duh australia kapigwa la 2
Australia wamepiga ghana out!!
sore i meant serbia hapo juu
hbr ndo hiyo....soka tu.............OMG!!! Ghana kulikoni tena mnawaachia hawa kufunga.
Bado niagize chochote? au ishakuwa soo?teh teh,bai bai Accra!
Ujerumani ikiongoza kundi inakutana na England..yaani hamna unafuu.
Sijaelewa wakipiga 3-0 inakuwaje?No mkuu Australia still inabidi wapige mawili kuipita Ghana
usiagize , vumilia kidogo. naona mserbia anaachia kuliko mNORTH KOREA kule
Kapiga la pili haha! hawa Serbia wanafanya nini sasa? Ghana have to score now, otherwise out.
England watapita.he he he he acha WAKOLONI wakomeshane..............
Sijaelewa wakipiga 3-0 inakuwaje?
Sijaelewa wakipiga 3-0 inakuwaje?