Hi, good girls. Someone asked me yesterday what the food was like in South Africa. From what I've seen, with the exception of indigenous fruits and spices, it's pretty much the same as what we have -- only fresher. That seems like an odd thing to say, but every bite seems to be more flavorful. And less salty. We figure it's because they use fewer preservatives in the food here. We're so conditioned to overshipped bland in the States, that it's been a nice surprise. So that's what fresh orange juice is supposed to taste like! And being close to such extreme poverty makes you more appreciative of the abundance we take for granted at home.
Make sure to eat all your vegetables.
Hivi ndo wasemavyo wageni walioko huko Bondeni!.:smiling:
BJ, hawa Waghana wana papara sana wakishaingia kwenye 18 walitakiwa wawe mbele at least kwa goli mbili. Kuna matumaini japa leo kwamba Wajerumani wanafungasha na kurudi kwao wakaanze upya kwa 2014.
Yani BAK no hope wala matumaini, ndo hivyo bahati zinakuja kujutiwa baadae!..ila kuna kitu nimekifikiria sana,mtu ukiwa uwanjani unawajibika ni tofauti na watazamani tunaochangia..huenda wanapanic au sielewi ni nini!..Sasa Germany anaongoza,bado Ghana wana chance kweli??
Yeah...cha msingi Ghana wasiruhusu kufungwa magoli zaidi....Hii ndo itakuwa pone pone yetu,Australia alipigwa goli nyingi na Mjerumani kitu ambacho kinawagaharimu na kuipa faida Black Stars endapo tu hawatachapwa magoli mengi....Tuzidi kubana nanihii