Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
Kaa kimya basi babu.......Kwani wanoshangilia England,Brazil,Spain,Holland n.k inakuwaje kuwaje?
Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
Kaa kimya basi babu.......Kwani wanoshangilia England,Brazil,Spain,Holland n.k inakuwaje kuwaje?
Jamaa analeta chuki hadi kwene michezo..duh!Kaa kimya basi babu.......Kwani wanoshangilia England,Brazil,Spain,Holland n.k inakuwaje kuwaje?
Wewe unatumia uhuru wako kwa kutoishangilia US team, waache wanaoishangilia nao watumie uhuru wao kufanya hivyo!.
Jamaa analeta chuki hadi kwene michezo..duh!
Mkuu upo???...dakika za nyongeza banaee..hawa watu kwa kweli hawakati tamaa. We have to give that to them.
Algeria, sijui niwaite waafrika wenzetu, walikua wanacheza kana kwamba wanatafuta draw...mara wali ukaingi sisimizi!!!
Kamata vuvuzela zako basi.... :horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Jamaa analeta chuki hadi kwene michezo..duh!
Leo nilikuwa namwangalia James Milner akicheza na Super Lamps.....Abrohamovic nadhani ameliona hilo....Milner to Chelsea?
lampard halina dili lile yupo yupo tu ana subiri kipa ateme lol.
Napima bado mzani kama niendelee na ratiba nyingine au niangalie Ghana ikitolewa...bado najitahidi kujiconvince niangalie hiyo mechi.
Mkuu hujaona mapende yake? Mechi ya pili England na Germany....the real world cup mechi zinaanza!
Haya mazee, mie ntaangalia if it worth the trouble.bado nawasindikiza GHANA waende kuwakilisha Africa,na tukimalizana na ujerumani tunawataka wajukuu wa malkia hao.
bado nawasindikiza GHANA waende kuwakilisha Africa,na tukimalizana na ujerumani tunawataka wajukuu wa malkia hao.
Yeah........same here................Mimi na Ghana tu mpaka dakika ya mwisho.............