World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

goaaaaaaaaaaaaal usaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Nilikuambia hii nd'o gemu ya kuangalia.....acha utani mazee!!!!!!

YES WE CAN...Wapi Obama sasa....:dance::dance::dance:

Jamaa wa Algeria anakula Red card dakika za nyongeza!
 
Am happy sasa............Safi sana US...Safi sana Donovan......Hureeeeeeeeeeeeee
 
Safi sana................Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

4fb5d4fbdd14b8ca16b5916a6bc39678-getty-fbl-wc2010-match38-usa-alg.jpg

 
hawa wazungu wanatuzarau kweli, hivi wanavyopanga next mechi ,hata GHANA hawaitaji ,ni kama kwamba washaitoa kabla gemu hehehehe
 
Back
Top Bottom