90'L. Donovanbao la OBAMA limefungwa dakika ya ngapi?
Ka-Defoe ni kajanja sana. Sometimes huwaga kana ile killer instinct na ku-sense vitu ambavyo watu kama Heskey hawana.nilisema DEFOE ATAKUWA HERO........................
oooh chuki binafsi!Naomba kuchokoza tu, hivi tunavyoishabikia Marekani, inakuwaje kuwaje? Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
tunaishangilia kimpira mkuu.michezo hipo kukutanisha watu na watu nwengi walichopenda hapa ni kwamba wako more serious ku-challenge huko mbele kulikoni timu za ajabu ambazo hazioneshi upinzani.Naomba kuchokoza tu, hivi tunavyoishabikia Marekani, inakuwaje kuwaje? Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
Ka-Defoe ni kajanja sana. Sometimes huwaga kana ile killer instinct na ku-sense vitu ambavyo watu kama Heskey hawana.
Naomba kuchokoza tu, hivi tunavyoishabikia Marekani, inakuwaje kuwaje? Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
ha ha ha ulikimbia mechi za kwanza walivyo kuwa wanafanya madudu sasa hivi unajitongeza kuleta u-chelsea jamaa wewe noma.haya enjoy ushindi wenu.Super Chelsea has helped England for the second round. Terry, Lamps and Ashley were superb in this final game in group stages.
macho yote kwa GHANA sasa au wakuu wengine bado hawataki headache ya mwisho.
Yaani bado hujaunyaka tu, kwi kwi kwi!.
Wewe unatumia uhuru wako kwa kutoishangilia US team, waache wanaoishangilia nao watumie uhuru wao kufanya hivyo!.Naomba kuchokoza tu, hivi tunavyoishabikia Marekani, inakuwaje kuwaje? Siichukii nchi hiyo ila siwezi kuishangilia, never. Am out....
ha ha ha ulikimbia mechi za kwanza walivyo kuwa wanafanya madudu sasa hivi unajitongeza kuleta u-chelsea jamaa wewe noma.haya enjoy ushindi wenu.
Mwambie Nemesis!!!Pole wenzako ndiyo home huku.
Heskey mpira wa WC hauwezi. WC ni technical tournament, sio miguvu.Nikimwangalia Heskey huwa namfananisha na Gaudence Mwaikimba wakati akiwa Yanga! Hana akili ya kuscore ...lol
bao la OBAMA limefungwa dakika ya ngapi?