Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
US wamekataliwa goli jengine..lolz
Sielewi kwanini FIFA wanakataa matumizi ya technolojia na replays.
duuuh vipi wakuu mambo yanendaje? game ipi imechangamka nimalizie dakika za mwisho .
mbebabox na bwana A .wenger wako wapi leo??