World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Mi ndo maana nalia na makocha wa kizungu bana..........fikiria anamuweka benchi Martins mechi zote na kumuingiza dakika 20 za mwisho....................aaaaaaaaaaaaaaaaargh.........................kwa heri
kweli mkuu bora wazalendo wana uchungu wa nchi na tukikosea tunatukanana wenyewe kwa wenyewe kuliko hawa ambao hawaelezwi kitu.
 
Hivi Yakubu anachezea timu ulaya kweli? i have seen a miss of the tournament kwake!!
 
Ivory Coast ni kama wametolewa tu mkuu.....Sidhani kama waweza mpiga mtu goli 8 bila aisee.................Ni Ghana tu aisee

ndio naangalia hapa mkuu,mie nimechanganyikiwa naona,sasa timu zetu 6 zote imekuwaje ? huu uzembe ni mkubwa sana.
 

Yaani kama Nigeria wanashindwa kuwafunga hawa macho kumchuzi wasirudi nchini kwao!! Africa sijui tuna matatizo gani kwenye miguu yetu
 
Kamati za ufundi za Africa ziungane basi kuisaidia naija kushinda mana very disappointing sijui nn miguuni martin tena dah!!
 
Mungu sijui awape nini cha ziada hawa Nigeria!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…