argentina akishinda na nigeria akishinda wote wana pita hata kwa goli moja.south korea ndio yuko sawa kwa points na nigeria.[/QUOTduuh nimesahau kumbe Nigeria ana 0 points ,greece na korea wana 3 points .sasa hapa kuna issue ya goal diffrence na Argentina lazima amfunge Greece hili nigeria wawe na nafasi kwa goal difference.