wavuke waende wapi wakati goal difference mexico kawazidi.ni uzembe tu mkuu walikuwa na uwezo wa kufunga goli nyingi hawa sema walianza ubitozi/ubinafsi.
wavuke waende wapi wakati goal difference mexico kawazidi.ni uzembe tu mkuu walikuwa na uwezo wa kufunga goli nyingi hawa sema walianza ubitozi/ubinafsi.
Matokeo haya yalikuwa ni perfect kwa France kama siyo upuuzi wa kumrudisha Anelka nyumbani. Nina uhakika France team iliyocheza na Uruguay ingefunga SA si chini ya bao tatu bila. Ila ile red card ya France sijui ilikuwa ni njama ya FIFA kuwabakiza SA kwenye mashindano. Maana ilikuwa 50-50 ball. Anyway wote wametoka tuangalie baadae Kama Maradona atatoa dozi kwa ugiriki na Nigeria amchape SC.