Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,825
gemu ni 2-1,seriously fifa itabidi wa deal na hili li refa la guatemala.yaani kumbe aliona handball halafu akapeta tu,duu..halafu kwanini refa atoke guatemala?refa wa hii mechi ilibidi atoke europe au asia..pambaafff
lawama namba moja iwaendee mods kwa kumuweka huyu mzee (shehe yahaya) kwenye hii sredi (msiniban ,natania tu)
lawama namba mbili imuendee erikson kwa kumuingiza gervinho kipindi cha pili
lawama namba tatu imuendee referee kwa mdebwedo aliouonesha goli la pili.
pamoja na yote IVORY tunakwenda 2nd round
Kutoka Guatemala? wewe ulikuwa unaangalia mechi gani? Refa ni mfaransa.
yaani mkuu wee acha tu kama lile goli tungelipata ikiwa 2-1 nakuhakikishia tungeliwabugiza mengine mawili kabla kipyenga. refa kauza gemu halafu anacheka na fabiano, kaniboa kwli huyu refa, hehehehe haki ya nani akifariki mazikoni kwake siendi
Pia kumbuka kwamba Ureno na Brazil ni damu damu,ni mtu na babaake................So tusahau kabisaaaaaaaaaaaa,hata CIV washinde mabao 10....hawa Wareno na Brazil lazima watasawazisha mambo tu...............Kwa heri(in advance) CIVwakuu Tembo wana-goal difference ya -2 sasa, na Ureno wana 0 huenda wakapata +ve kadhaa kesho. Tunahali ngumu, tunamuhitaji Brazil kuishushia kipigo kikali Ureno, lakini kutokana na tension zilizotokea hapo dakika za mwisho, watatuhujumu tu. Tulitakiwa kujenga urafiki na Brazil leo siyo tension za ajabu.
Ni kweli Kaka kafanya kosa lakini lilikuwa linavumilika (I might be wrong). Swala la refa huyu naye inabidi awekwe kwenye kikaango kimoja na Coulbay.
Halafu akawa anamwambia Luis kwamba umenawa mpira huku anacheka..............WTF
Halafu na huyu Sven ndo nini kumuweka mtaalamu Gervinho benchi???????????????aaaaaaaaaaaaaaaaargh............Makocha wazungu hawa...........
lawama namba moja iwaendee mods kwa kumuweka huyu mzee (shehe yahaya) kwenye hii sredi (msiniban ,natania tu)
lawama namba mbili imuendee erikson kwa kumuingiza gervinho kipindi cha pili
lawama namba tatu imuendee referee kwa mdebwedo aliouonesha goli la pili.
pamoja na yote IVORY tunakwenda 2nd round
Mkuu shiuda Gervino anacheza namba moja na Drogba.....labda kalou ama Dindane should have provided the room!
Itategemea na matokeo ya kesho ya Portugal na N.Korea
Ngosha una moyo punda duh, yaani bado una matumaini tu?Itategemea na matokeo ya kesho ya Portugal na N.Korea
Ngoja tusubiri game ya Brazil na Portugal.....................
Ngosha una moyo punda duh, yaani bado una matumaini tu?
Ivorians wameshafulia. Wangekuwa na kocha mwenye mbinu wangecheza defensive game kwa kucheza na starika mmoja na kubana pale kati kwa kupunguza umbali kati ya midfielders na mabeki, wao wakajifanya kichwa ngumu na kuwaiga tembo kwenda haja. Matokeo yake tumeyaona. Kwa sasa hivi wapo between a stone and a hard surface, hamna nafuu.

mkuu mm nahisi jamaa hawakuwa wagumu kiivyo ,kama erikson angelitafuta formation ya kuwa accomodate gervinho na drogba tangu mwanzo wa mchezo ,am sure tungelikuwa tunacheka mida hii.
Yeah....Kalou,Dindane na Eboue mmojawapo alitakiwa akae benchi aanzishwe Gervas a.k.a Gervinho
Mzee,
WC ni mbinu, na wachezaji wenye ku-execute mbinu. Ivorians hawaezi kwenda 1-0-1 na Wabrazil, hivo hapo ilihitajika mbinu, sio kwenda kucheza kama wao. Hata Argentina wenyewe huwaga wanawafanyia taiming tu kuwafunga otherwise ktk sayari hii kila mtu akicheza na Brazil anajua kuna uwezekano wa 95% wa kupoteza mechi.
Ivorians walitakiwa wajifunze kwa Waswisi walivoeza kumchapa Spain, wangejifanya kwenda nao pasi kwa pasi wangeacha matundu langoni na wangepigwa si chini ya bao 4-0.