hivi mnakumbuka cartoon ya tom and jerry... hasa pale tom akishajua kimemuwakia?? huwa anameza funda kubwa sana la mate na kwikwi juuu, basi ndivyo nilivyojisikia baada ya bao la tatu!!!
nyhine acheni tu, ni kama unatafuna kitunguu kikiwa bado kikali.... chozi juuu kilio hakuna!!!