World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

ha ha ha ha!
wajameni mimi sikuwahi kukabiliana na weldi-kapu ya ajabu kama hii!
 
Ivory coast itashinda mimi ni kiboko zaidi ya sheikh yahya na nipo tiyari kurudi hapa kama ivory coast haita shinda. brazil akijitahidi atapata draw lakini hawana mpira wa kuifunga ivory coast
 
I know it's a tough game for Ivory Coast but I still believe they can bring back our lost hope
 
pamoja mkuu. tunawasambaratisha BRAZIL leo, acha tuzungushe antenna hapa.

Tuko wote hapoo.Hawa Brazil hawatishi wala nini,tunaweza kuwaburuza vilevile.Naweka pesa yangu kwa litimu la afrika kwa mara ya mwisho leo..
 
Nipo na Brazil kwenye mechi hii..All the best to them!..na nyie mnaoshabikia Ivory Coast mtanange mwema!
 
all the best "africa masalia"--- mwaka huu tumefulia but today i go for bara la africa

thanks wote tunaosapoti code d'ivoire... i hope TFF wanauguza vidonda bado
 
hakuna kitu hapo.......mende hawezi angusha kabati bana.....hata siku moja
 
mimi nashangilia IVORIES ingawa mwisho wake naujua.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…