Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mechi nyingine hata hazivutii kuangalia mkuuJamani hamna anayeangalia Slovakia Vs Paraguay..ama ni ubaguzi wenu????...😛eep:😛eep:😛eep:
Basi mambo ni kama haya...Paraguay wanaongoza 1 - 0
Mechi nyingine hata hazivutii kuangalia mkuu
Jamani hamna anayeangalia Slovakia Vs Paraguay..ama ni ubaguzi wenu????...😛eep:😛eep:😛eep:
Basi mambo ni kama haya...Paraguay wanaongoza 1 - 0
huyu bingwa mtetezi nae yuko kwenye utata kama wenzie wa EURO,sijui leo atajikwamua au ndi yaleyale......