NEWS ALERT:Anelka sent home for insulting Raymond Domenech....
utashangaa ghana waja kufungwa na hao jamaa 10
Naona kama hatuna bahati ya kufunga magoli! mie nimeanza kukata tamaa:redfaces:
ghana wana miss essien,muntari,appiah,john mensah....hawa wangekuwepo timu ingekuwa tishio.....
wangekuwepo wapi?? Essien tu ndio hayupo wangine wote wapo mzee
Hawa Ghana nao nimeconfirm hakuna kitu