World Bank kuipa China mkopo

Kwahio mkuu unataka kupinga kuwa US ndio mwenye deni kubwa duniani, aiseee ww ni mkali
Wapi nimepinga?!

Maana kwa mujibu wa article China total debt ni 40trilion na USA ni 69% trillion.

Kumbuka GDP ya China ni 14trilion na USA ni 21trilion
 
Serikali ya China ndio serikali inayodaiwa kuliko zote duniani. Ndani na nje. Ndo mana wachumi nguli wanasema uchumi wao msingi wake ni wa glass
Those economist might have graduated from Mtimbwilimbwi University of Economy coz i wonder why US and his Co. are mostly hustling to pose economic sanctions over China is that GLassy economy?
 
Back
Top Bottom