World bank imeikubali kuipa China mkopo wa dola bilioni 1.9 licha ya pingamizi kutoka serikali ya Marekani .
Je wataalamu wa uchumi hii imekaaje kwani huyu China ndio mtoa mikopo mikubwa kwa nchi nyingi duniani
Kumbe!China bado ni developing country
Ni kwa usalama wa uchumi wake. China anaweka us dollar reserve kubwa ili kufanya uchumi wake uendelee kukua kwa sababu hiyo inafanya dollar kua na thamani kubwa na yen yake inakua na thamani ndogo hivyo kufanya mauzo yake nje ya nchi yawe rahisi na watu wapendelee vitu kutoka china.Mchina mjanja anaongeza reserve yake ya dola
Inakopa world bank kwa riba ndogo alafu inakopesha nchi za africa kwa riba kubwa balaa.China bado ni developing country
Ni kwa usalama wa uchumi wake. China anaweka us dollar reserve kubwa ili kufanya uchumi wake uendelee kukua kwa sababu hiyo inafanya dollar kua na thamani kubwa na ye yake inakua na thamani ndogo hivyo kufanya mauzo yake nje ya nchi yawe rahisi na watu wapendelee vitu kutoka china.
Inakopa world bank kwa riba ndogo alafu inakopesha nchi za africa kwa riba kubwa balaa.
Juzi marafiki zetu hawa na kihistoria wametunyima dollar billioni 3 walizokua wametuahidi na tukasaini mikataba ila toka 2016 hawajaachia haya shilingi 100 na wala hawajatoa sababu ya kutufanyia hivyo. Sema sisi tunawapenda kwa sababu hawaingilii mambo yetu ya ndani, hata tukiuana, kuchinjana na kuzikana hai bado hawatuingilii hawa marafiki zetu wa kihistoria.
Hajaweka hata source....Ni kwa usalama wa uchumi wake. China anaweka us dollar reserve kubwa ili kufanya uchumi wake uendelee kukua kwa sababu hiyo inafanya dollar kua na thamani kubwa na ye yake inakua na thamani ndogo hivyo kufanya mauzo yake nje ya nchi yawe rahisi na watu wapendelee vitu kutoka china.
Huamini kwamba kakopa? Ebu nenda hata kwenye account ya tweeter ya POTUS katweet kuhusu hiloHajaweka hata source....
China in reserve kubwa ya USD kuliko hata marekani yenyewe
China mjanja wewe kule anakopa kwa riba ya x% halafu anakopesha kwa riba ya y% ,where y>x
Wewe bwana vipi, si wachina na warussia walisema wao sasa hawahitaji tena dollar ya Marekani. Si wakubali tu kuwa Trade War inawaua kiuchumi.Mchina mjanja anaongeza reserve yake ya dola
Kukopa sio dhambi. Swala unakopa kufanyia nini chenye manufaa kwa wananchi walio wengi. That's it.Kwahiyo serikali ya Tanzania kukopa ni halali
Kwani nani kabisha?China has the largest forex reserves in the world — here's how other countries measure up
More items...
- Forex reserves can help a country buoy local currency or even provide insurance in the case of a national economic emergency.
- China tops other countries in foreign reserves with $3.2 trillion held.
•
May 28, 2018
Serikali ya China ndio serikali inayodaiwa kuliko zote duniani. Ndani na nje. Ndo mana wachumi nguli wanasema uchumi wao msingi wake ni wa glass.Ndio mara ya kwanza najua kuwa hata china anakopa