World Bank kuipa China mkopo

World Bank kuipa China mkopo

Babu Trump China inampa kichwa kuuma, akiona EU NATO inamtegemea Russia kwa gesi, hafu Saudis, UAE na Waarabu wengine wanatumia pesa zao kujenga nchi zao anajikuta anawakati mgumu wa kupata pesa za kuchezea, ili akapigane vita
Donald Trump has called for the World Bank to stop lending money to China, a day after the institution adopted a lending plan to Beijing despite Washington’s objections.

The World Bank on Thursday adopted a plan to aid China with $1bn to $1.5bn in low-interest loans annually until 2025. The plan called for lending to “gradually decline” from the previous five-year average of $1.8bn.

Trump tweeted on Friday night: “Why is the World Bank loaning money to China? Can this be possible? China has plenty of money, and if they don’t, they create it. STOP!”
 
Hapa ndo ninapokikumbuka madini ya kitabu #ECONOMICHITMAN mmarekani alitengeneza world bank na IMF Basically kunyonya nchi maskini na ndo maana yeye ndo lender mkubwa..mchina kakaa chinI kaumiza kichwa now he is beating Americons on their own game...kopa dola weka ndani expose the currency while you thrive on exportdue to your everyday devaluation of your currency as long as a country you are self sufficient and dont depend on outside to survive.......KUDOS TO CHINESE
 
With China's 2014 GDP being US$ 10,356.508 billion, this makes the government debt of China approximately US$ 4.3 trillion. The foreign debt of China, by June 2015, stood at around US$ 1.68 trillion, according to data from the country's State Administration of Foreign Exchange as quoted by the State Council.
Wikipedia, the free encyclopedia › wiki
National debt of China - Wikipedia
Sikuwahi jua China anadaiwa pia
 
Ha ha ha! Tena nakumbuka hadi Putin na Xi walikutana eti kuunda sarafu yao; mara wakageukia Euro alimradi tu hawaeleweki. Leo tena wamekimbilia kukopa dola ileile wanayojifanya kuinanga kila siku! Dola tamu asikwambie mtu.
Lile Jicho la Kaizari(Cesour) shetani hakukosea kuweka ktk Dollar. Na ndio linalompa nguvu. Wengine wataangaika lakini lile Jicho linawaangalia tuuuu
 
Babu Trump China inampa kichwa kuuma, akiona EU NATO inamtegemea Russia kwa gesi, hafu Saudis, UAE na Waarabu wengine wanatumia pesa zao kujenga nchi zao anajikuta anawakati mgumu wa kupata pesa za kuchezea, ili akapigane vita
Marekani hashindwi chochote, akiamua kuichafua dunia anachafua ni swala la muda tuuuu.
 
Mshana Jr please, dont get caught up in the mix, the context might have been right most of the time,but the Content within is permanently wrong!! Kushusha value ya fedha yako ili kuvutia wateja WENYE FEDHA NDOGO ina make sense(That is is the Context) kuomba mkopo wa fedha yenye thamani kuliko yako ($, specifically),kisha eti uifiche in reserve basis or keeping(whatever) eti ili fedha yako iporomoke,eti again ili watu wavutiwe kuja kununua bidhaa yako ni hoja ya Kijinga!!(this is the content) mwenye fedha kubwa huna haja ya ku devaluate currency yako kumvuta,purchasing power ya Us dollar tayari ni kubwa(kulinganisha na rubble au yuan) kiasi cha kuweza kuingia kwenye soko na kulishinda bila jasho,wanaolengwa kwenye hiyo devaluation ya mchina ni sisi wenye vihela vya madafu,na the story is wanatuuzia sub-standard products for cheap half a price!! for the currency that is 320 times weaker than theirs(see yuan renmbi vs tsh)wakati yuan moja ni 14Usd cents tu!! Head up man.
Akili kubwa
 
Hahaaahaa dollar tamu eti
Ha ha ha! Tena nakumbuka hadi Putin na Xi walikutana eti kuunda sarafu yao; mara wakageukia Euro alimradi tu hawaeleweki. Leo tena wamekimbilia kukopa dola ileile wanayojifanya kuinanga kila siku! Dola tamu asikwambie mtu.
 
hahaha,sijaingia GDP banah,naona unataka niingie huko ili useme US Ina GDP kubwa kuliko China,nachojsribu kaonyesha ni kuwa China kuloan bilioni moja sio ishu kivile ya kuanzishia mada,usikute Kuna project world Bank wanafund na SI suala la kuishiwa
Okay, Sio kwamba China kaishiwa, anachokifanya china ni kama anachokifanya Iran kwa kutumia pesa nyingi kuhamasisha vita na ugaidi kwenye mataifa mengine wakati watu wake wanaishi katika lindi la umasikini.

Kwa vigezo vya msingi China ni nchi masikini kwa sababu asilimia kubwa ya watu wake hawana access na huduma fulanifulani za msingi, ndio maana wanapewa hizo facilities mahususi kwa nchi zinazoendelea.

China inakopa hata kutoka Asian Development Bank ambayo donors wake wakubwa ni USA na Jamani, katika facilities ambazo lengo lake ni kupambana na umasikini katika nchi za Asia.

Sio kwamba kaishiwa, ila priorities zake ndio zina mashaka.
 
IRAN Yawatu Mnapenda Kuisakama MKUU

Hillary Klinton Alikiri Kabisa Kama ISIS Limeundwa Na US Hamkukurupuka Kusema Kama US Anasapoti Na Kuunga Mkono Ugaidi

US Aliunda Taleban Kupigana Na USSR Hamsemi

IRAN Kuwapa silaha Hizbullah Mnasema Anaunga Mkono Ugaidi Wakat US FRANCE Waliwapa Silaha Waasi Wakati LIBYA Kimenuka

US na Shoga Zake Wakimagharibi Wameunga Mkono Waasi SYRIA Bado Hamuoni Kama Wanaspoti Magaidi

Kabla Hujasema IRAN Inasapoti Ugaidi Inabidi Unipe Kwanza Tafsiri Halisi Ya Ugaidi

MADA:

CHINA Anakopa Sababu Anasifa Zakupewa Mkopo nandio Maana Akakopeshwa

Unahisi Anaekontrol Hizo Bank Nani Kama Sio Hao Wamagharibi Unahisi kwa nn Wakati Inafanywa Michakato Yajamaa Kupewa Mkopo Wasinge Mwambia Kama Hana sifa Na wampe Sifa Za Mtu Ambae Anatakiwa Apewe Huo Mkopo ?

US Kuna sehemu Kateleza nandio hio ss hv inayomgharimu

CHINA Kamshika Pabaya Jamaa Baada Ya Miaka Kadhaa kama 2takua hai 2tashuhudia
 
Babu Trump China inampa kichwa kuuma, akiona EU NATO inamtegemea Russia kwa gesi, hafu Saudis, UAE na Waarabu wengine wanatumia pesa zao kujenga nchi zao anajikuta anawakati mgumu wa kupata pesa za kuchezea, ili akapigane vita
Wewe una-lack proper or credible information on international affairs hali inayokufanya utegemee vijiwe vya kahawa kama source na ndio maana unafikiri US wanaweza wakakosa pesa ya kuendea vitani endapo wakiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo.

Jaribu kupenda kusoma more international news ili uwe well informed kuliko kutegemea vijiwe vya kahawa.
 
Hajaweka hata source....
China in reserve kubwa ya USD kuliko hata marekani yenyewe
Kama hiyo ni sarafu yake ni kwanini ashindane kuwa na reserve kubwa dhidi ya wengine?
Kuwa na reserve kubwa si kazi yake bali ya watumiaji ambao siyo ya kwao
 
Back
Top Bottom