Workmate anadai katembea na mchumba wangu


Mkuu;
Nataka niwe tofauti na wengine wote. Oa mke wako huyu. Hakuna mahali popote utaweza kupata mke asodhanganywa akadanganyika.
Ndoa ni kuaminiana tu nje ya hapo ndoa haikai siku 2. Huyo jamaa yako kaomba akakataliwa huyo, mwamini mchumbako. Yawezekana ikawa ndo bahati yako ukaipiga teke jombaa.
Kama umechapiwa ni kama ulivyomkuta mwanzo, hukumkuta bikra sasa hayo ya kutaka kujua aliupotezea wapi ubikra wake hayo ni kutaka kunusa kinyesi cha jana.
Anzia hapo mlipo. Muamini, tia pamba masikioni, chukua chuma ingiza home. Kila siku mwambiye hatari za kumfumania, atakuelewa tu mkuu. Hivi weye kweli ukimuwowa huyu mdhungu, utamruhusu aendelee na kazi jamani??
Anza sasa kumsifia pale kazini na kwamba wote waliomvua pichu hawakumuweza ila weye na ndo maana kakupa mkono wake weye. Tamba naye kuwa weye ndo kidume chake na wengine wote ni mafwala.
 
Mmhmh hii kesi ni ngumu ! Wacha nipite...!
 
Usije ukampenda vile ni mzungu, au anapesa kwamba atakitoa! Mnapanga kuishi wapi?
Kwa nn asitake akupeleke kwao, ?
Wazungu wana tabia mbaya weng nadhani mpige mashine ila usimuoe maana sio mke huyo
 
Nenda kasome Qur'an 17:32 ukirudi nakupa ushauri ufanye nini
 
Wanamsingizia endelea na mipango yako ya ndoa.
Then siku nyingine kuwa muwazi watambulishe ofisi nzima kuwa huyo mzungu ni wife to be ili wakimfanya wasikuambie.
 
Sasa kama umeshaambiwa yote hayo unachoomba ushauri ni kip ndugu au unangojea umkute ana gegedwa ww temana nae aisee usipagawe na rang utajuta mzungu anaonekana ni mama huruma
 
Huyo atakuwa na tatizo la nyg kali. Mpeleke kwa ngariba 'akapunguzwe ukubwa wa harage'...
 
Ukiwa na mzungu usiwe na wivu... wanapenda sana "To have fun" na watu tofauti tofauti... kaza moyo..
 
Bravo xavia, you are brilliant and very creative! Nice episode.
 
Mwanamke akicheat kuna vitu viwili, either ndio tabia yake au mazingira yamempush afanye hivyo..jipe mda kumsoma tabia yake original then utafahamu tu what kind of person she is, swala la ndoa june/sep achana nalo kabisa kwa mda huu..huwezi kuoa mtu ambae moyo wako una Mashaka nae, Kama kweli anakupenda na ana malengo na wewe atakusikiliza.

NOTE:
Kwa maelezo yako inaonesha umependa sanaa, Ila usisahau wewe Ni mwanaume (kichwa).. You’re allowed to feel, but you can’t allow those feelings to influence your decision-making process when you are in a relationship.
 
wewe usiongeze watu wanaojua hii siri. hao waliojua wanatosha. Huyo hana lengo nawewe.

tulia, endelea kumla, zima mipango yote atajitoa mwenyewe tu akiona wewe huzungumzii tena mambo ya ndoa. Ila usitambulishe mtu tena, utaabika sana siku moja.

Tafadhali sisi tuwe wa mwisho kujua kuwa unachezewa bila wewe kujijua
 
kifupi wazungu wanapenda sex na black, we achana nae maana hiyo ndoa ishakuwa na mashaka, ndoa gani ufunge bila kuwajua nduguzo wa mkeo! achana nae mkuu wala usijipe mateso huyo ana maisha yake, we ukimuoa afu ndo ukapelekwa kwa wazazi wake na wakakutaa ndo utakuwa umefanya nini....mi binafsi sifikirii kabisa kuoa mzungu na hivi ninavyoona utamaduni wa magharibi unavyoharibu vijana wa africa ni hatari, usishangae mkazaa mtoto wa kiume afu baade mkeo akakubali awe shoga na akataka mwanao afunge ndoa na mwanaume mwenzake hapo ndo itakuwa majuto ni mjukuu.......
 
still huna ushahid wa kutosha kumtia hatiatini!! ilibid ufanye utafit wako kabla ya kukurupuka. hyo ni 50/50 so u have to understand her, coz huna ushahidi, endelea kufanya uchunguz wako. usiharakishe ndoa
 
Pole ndugu ....Cheza kamari,If u win u will be happy if u loose u will be WISE.Oa zalisha,Kikinuka vuta mbantu and life goes on.BTW ladha yake ipoje mkuu?Joto?Mnato vp?
 
Nisaidieni si mnasema kumpata mzungu moja ni ngumu.....pili hawacheat kabisaaaaa......sasa ww huyu ni mzungu gani au tunajazwaaga upepo tu
 
Sikiloza moyo wako... Jibu unalo, ukweli ukweli unao
 
Jungle Fever....!
Iringa kilikua kituo changu mwaka 2009-2015 kuwapokea na kuwa-accomodate hawa volunteers toka nje(Wazungu) kwa miaka michache iyo nilijifunza mengi kuhusu hawa viumbe katu siwezi kuoa binti aliekuja uku kwa kazi ya muda mfupi wengi wanakuja for fun tu ikiwemo hii ya kujaribu duduzi mbali mbali,yupo mmoja alijua kua hatujui kua anatuchanganya na muhuni wangu kumbe sisi mapema tulishtuana kote anazuga kupenda vibaya.
Mchunguze uyo wako anaweza akawa analia kuzuga ili tu akae kwa amani kumbe akienda field lazima wajomba wapumzike na ofisi kama yako najua inavyokua kila field mwana mpya atakua kaomba aende nae hawa wazungu kaa nae kunyweni bia jifanye chizi ile YOLO atajikuta kwa bed uko nao wawili wanakuchekea tu,fanya uhakiki nimekupat uzoefu wangu tu na hawa viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…