xavia abel
Member
- Apr 6, 2016
- 60
- 20
Wadau habari zenu, i hope wote mko poa
Mm nina fanya kazi katika organization inayojihusisha na utafiti wa magonjwa ya binadam na afya kwa ujumla, shirika hili linafadhiliwa na nchi moja ya ulaya , hivyo hapa tunapokea wazungu wengi sana sana Watafiti na wanasayansi wa afya kutoka taifa hilo, katika Hali hii vijana wengi hapa kwetu wameoa au kuolewa na wazungu due to that interaction, well, wengine ndoa zimekufa sababu ya kukurupuka wengine bado zipo, pia mahusiano ya kawaida ni mengi ambayo ni interracial
Kuna dada wa kizungu alipofika tu nilipangwa kwenda nae field vijijini, tulikaa huko miezi mitatu kwa research related assignment, in the course of our stay tukajikuta tumekua wapenzi na tukawa tunalala chumba kimoja sehemu tuliyokua tumefikia, hata tuliporudi dar mapenzi yaliendelea, safari iliyofuata vijijini alinisihi sana nimpeleke akawaone wazazi wangu na ndugu kwa ujumla, nikafanya hivyo, ambapo alichinjiwa ng'ombe na kukaribishwa kama malkia, wote mnajua ushamba wa ndugu zetu vijijini waonapo wazungu, yy mwenyewe alifurahi sana kupokelewa vile
Baada ya mwaka nikawa attached na team ya watu wa doctors without borders kwa joint research kwenda Bukina Faso kwa miezi minne, msichana wangu akawa anabadilishiwa watu wa kwenda nao field kwa hiyo miezi minne , Niliporudi, rafiki zangu watatu hapa kazini katika story tu kama marafiki wakaniambia wametembea na Mchumba wangu wakiwa huko field, na kwamba hana hiyana mtu yeyote ukienda nae field wakati wa kulala usiku anakupa penzi, habari hizi waliniambia kila mtu kwa Muda wake, na hivyo kila mmoja hajui kama mwenzie alipata
Taarifa hizi zimeniumiza na kunishtua sana Maana msichana huyu nimemtambulisha kwa wazazi wangu na tulikua kwenye majadiliano kwamba tufunge ndoa lini, yy akawa anadai tufunge June mm nikidai tufunge September maana nataka niwaone na kuwa fahamu wazazi wake kwanza ktk safari tuliyopanga August kwenda kwao, then tukirudi ndipo tufunge ndoa September au October mwanzoni,
Ila yeye akawa analazimisha tufunge ndoa June Bila ndugu zake wala wazazi wake then hiyo September ndipo Twende kwao, wazazi wangu ni kama vile hawaliafiki pendekezo hilo
Nimekuja hapa kuwaomba muongozo wenu kwenye hili maana nimechanganyikiwa Bila kujua cha kufanya sababu ya tuhuma hizi zilizojitokeza wakati sipo, maana wawili kati ya hao wanaodai katembea na Mchumba wangu ni watu very credible na tunaheshimiana sana, in fact wakati wananiambia hawakujua kama mm na yule mzungu tuna uhusiano, ukaribu wa namna hii upo kwa watu wengi hapa kazini, siku zote ninapoulizwa na wenzangu huwa nasema we are just good friends, that's all, juzi ndio nilimwita mmoja wao na kumweleza ukweli maana huyu ni kama ndugu kwangu, hivyo aniambie ukweli halisi wa hilo jambo, ambapo aliniuliza swali moja tu kuwa "" nimewahi kukudanganya kabla? maelezo aliyonipa yanaonekana kujitosheleza maana hata mm mwanzo nilitembea na huyu msichana katika mazingira kama hayo, hao staff wengine wawili huwa ni watu wa mzaha mzaha na walu walu sana na kuongea kwingi hivyo niliwapuuza , lakini huyu mmoja nilieongea nae kwa mara ya pili sio mtu wa kumpuuza kabisa
Hata hivyo Mchumba wangu amekanusha habari hizi na kulia machozi kwa nn nakosa kumwamini na kwamba kwa nn nasikiliza watu wengine na sio yeye, kwamba wanamsingizia hawezi kufanya mambo hayo,
Mm kama mm nashindwa kumwamini tena msichana huyu maana matendo yanayofanywa na wageni wenzie hapa sio mazuri, mgeni akisafiri na wewe kukupa penzi sio kitu kikubwa, wapo ambao wanachanganya watu Bila soni wakiulizwa wanadai wana have fun lakini Hawana wapenzi hapa, Huyu wangu tangu amekuja tabia zake kiukweli ni tofauti na wenzie wote, ndio maana nimekua na relationship nae kwa mwaka mzima na miezi kadhaa, Ingawa tangu amekuja hakuwahi kwenda field na staff mwingine hadi alipokuja kupewa watu wengine nilipoenda bukinabe,
Help Pls
Niachane nae au nicheze tu kamari?