Workmate anadai katembea na mchumba wangu

Workmate anadai katembea na mchumba wangu

Hapana, hatukua tunatumia kinga, tuliacha kutumia baada ya kupima human immuno diffeciency syndrome (HIV), baadae tuliendelea Bila kinga
hawa watu....
Mkuu XA, kaushauri kadoooogo sana " kaa ukijuwa mkijaaliwa kizazi (watoto) in case kwa lolote litokealo kati yenu basi watoto huambulii kitu " Nchi yao na ubalozi wao watawahodhi/watawchukuwa wanao... wewe utaanza upya kuzaa na kulea.. "mungu apishe mbali"
Wish you success happy future
 
Wengi mnammind jamaa mkidhani ameshobokea uzungu wa huyo binti. Sidhani kama suala ni uzungu wa binti au ni mapenz ya dhat ya jamaa kwa huyo dada.mkuu naamini hiyo habari haina ukweli sana...kama mdada amekubali kukutana na wanaomtuhumu kuna aina flani ya hisia kuwa hakufanya Hicho kitendo . Jipe muda kuchunguza zaidi...tumia hata technology kama kweli unamuhitaji huyo dada
 
hapo suala sio mzungu wala mswahili, suala ni tabia ya mtu. kila mtu ana tabia yake na huenda huyo mzungu ana kijini nyege. sasa fanya mpango unipatie mawasiliano yake nimtafute ili nimkanye na kumshauri asirudie alichokutenda.
 
Huyu mwanamke ni kicheche na wewe unajua
hutaki tu kuuona ukweli
 
Huyu mwanamke ni kicheche na wewe unajua
hutaki tu kuuona ukweli
Mkuu mm sifahamu kama ni kicheche, hizi taarifa nimeelezwa, ww unatufahamu watanzania tulivyo linapokuja suala la information, ni kweli hawa ni rafiki zangu Lakin siwezi kujua wana agenda gani, may be it is true may not, that's way natafuta namna ya kufahamu ukweli ili maamuzi yangu yawe sahihi mwisho wa siku
Otherwise nashukuru kwa ushauri wako
 
mapenzi hayataki ushauri usije kututia ubaya bure
 
ukitaka kuoa mzungu oa. ila km unataka kuoa wajo peke yk ucoe. wazungu co wachoyo wengi wanawasifia yani hakunaga hata haja ya kutongoza.
 
Kuna umri wa kudanganyana mkuu, sidhani hao age mates rafiki zako (incase they are) wanaweza kudanganya kwa issue ya kugegeda kana kwamba ni watoto wa sekondari!

Chunguza mkuu, ila kwa maelezo yako, ni dhahiri jamaa wamesanua kigegedeo chako, sema ni denial tu ya nafsi katika kukataa bitter truth.

Kama una ujasiri, potezea tu Mkuu, labda alikua anamalizia ujana mara ya mwishomwisho.
 
Mkuu mm sifahamu kama ni kicheche, hizi taarifa nimeelezwa, ww unatufahamu watanzania tulivyo linapokuja suala la information, ni kweli hawa ni rafiki zangu Lakin siwezi kujua wana agenda gani, may be it is true may not, that's way natafuta namna ya kufahamu ukweli ili maamuzi yangu yawe sahihi mwisho wa siku
Otherwise nashukuru kwa ushauri wako

unapaswa uachane nae sababu itaendelea kuku hunt hata ukisha muoa
utaishi kwa wasiwasi
akisafiri na yule unashikwa na wasiwasi..akienda kwao unaumia
ukisafiri unabaki na kihoro

halafu usisahau hao watu walikupa hizo story huku hawajui kuwa ni mtu wako
sasa unataka wawe na agenda ipi huku walikuwa hawajui?
 
Mkuu suala sio mzungu, ishu ni kuwa niamini hizi habari au la? Hilo ndio linanisumbua, Mchumba anadai si kweli na anasimamia hapo
Katika hali ya kawaida,unafikiri anaweza kukubali kirahisi kuwa ametembea na hao wahusika? Akili ni nywele,na wewe pia unazo.
 
Jamani wazungu hawanaga aibu.Na washajua Waafrika wakichapiwa wanumia so hawez kukwambia ukweli.Ulichokosea ni wewe kumpeleka home kabla hijapajua kwao na kuchunguza huyo ni mtu wa namna gani.Mchunguze upyaa ujue kama nakufaa au lah.Kinachokuumiza sio kumpoteza issue ni home wanajua kijana wao anaoa mtasha alaf urudi na story.Pole sana.
 
39 yrs.
Jitahidi kufanya mazoezi& kula vzr

Maana pulling ikipungua waweza olea mtaa

Ungetaja nchi anayotoka ningeweza kuongeza ushauri.
 
bro sikiliza moyo wako unasemaje.....hao jamaa zako wanakuchanganya tuu....endelea na msungu wako mangi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom