Mkuu unatakiwa ukae chini,na ufikirie kabla ya kufanya maamuzi......
kwanini hataki uwaone wazazi wake,kabla hamjaoana?
halafu,kwann atake kuwaona wazazi wako kabla?
Ndoa kwa jamii zetu ni kitu kitakatifu,kwa wenzetu ni kitu kingine!
kwa ulipofika in maana ushampenda,na unashindana na moyo wako
ila kwa hayo mazingira, na aina ya kazi uliyonayo......
Nachelea kusema, Huzuni na Maumivu ni rahisi kuwa rafiki yako mno,
kuliko Uaminifu,Furaha,....na mafanikio katika maisha yenu na Mzungu wako.
Hao wa mwisho ni rahisi kuwa maadui wako......Baada ya Ndoa yenu Takatifu
Ndoa Njema Doctor!