Topintz
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 659
Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow vibaya mno, ila sasa ni zaidi ya wiki website haipatikani kabisa.. ukiwapigia wanasema wanafanya maintenance. Wiki nzima maintenance?
Kazi zimekwama hakuna kibali cha kazi kinachoombwa wala kutoka na ukiangalia ni eneo nyeti kwani linahusu wageni na wawekezaji. Mnatukosea sana wateja wenu, kama kuna changamoto kubwa si mtoe tangazo rasmi na timeline ya kusubiri tujue mwisho wa hii changamoto.
Je, kwa uzembe huu ni mapato kiasi gani kama nchi tumeyakosa kwa kutokuwa hewani wiki nzima?
Pia soma ~ Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano yaomba radhi kwa tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Maombi ya Vibali vya Kazi