Work out, body builders

Work out, body builders

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Sijawahi kuona uzi kuhusu watu wanaopenda michezo na kufanya mazoezi. Hebu naomba tukutane hapa tukipeana mbinu mbalimbali za michezo, ikiwemo
1: Trick za ku push mwili kuvuka limit yake.
2: Nini ule ili upate matokeo ya haraka na best, vyakula vya kuongeza nguvu pia.
3; Tahadhari za kuchukua kama unataka anza kitu flani kipya...

Kiujumla kuna mengi tunaweza share kama wapenda mazoezi na wanamichezo. Hapa itajumlisha watu wa kada zote wanariadha Shy land inaweza kuwa unahusika hapa, wana martial arts pia na wengine wote karibuni tuweze jumuika pamoja.

Kwa kuanza tu kama kuamsha niweke after burn work out. Check hapa chini
attachment.php


attachment.php

​
 

Attachments

  • 1422891789557.jpg
    1422891789557.jpg
    32.6 KB · Views: 385
  • 1422891821563.jpg
    1422891821563.jpg
    10 KB · Views: 646
MARA NYINGI MAZOEZI HUFANYWA ILI KULETA MATOKEO CHANYA KUTOKA NA MWANAMAZOEZI AVYOTAKA AWE BAADAYE.

fanya mazoezi ili uishi maisha marefu na mazuri,
kufanya mazoezi hasa ya nguvu humfanya mtu awe na hamu na chakula kitakachosaidia kujenga mwili kwa ustandi unaotakiwa
 
MARA NYINGI MAZOEZI HUFANYWA ILI KULETA MATOKEO CHANYA KUTOKA NA MWANAMAZOEZI AVYOTAKA AWE BAADAYE.

fanya mazoezi ili uishi maisha marefu na mazuri,
kufanya mazoezi hasa ya nguvu humfanya mtu awe na hamu na chakula kitakachosaidia kujenga mwili kwa ustandi unaotakiwa

Mazoez yako unafanyia nyumbani au gym…?
 
Mazoez yako unafanyia nyumbani au gym…?

Swali zuri.
kila mtu huamini anachokifanya ni sahihi kama kinaleta positive impact kwake.

na kama nilivyoseama awali mtu hufanya mazoezi kwa malengo na mtengemeo hasi huko mbeleni.


kwa ufahamu wangu unaweza ukafanya mazoezi yakakutengezea ukilema fulani katika mwili wako
lakn ukilema huo huwezi akauona.
yaani utakuwa anajiona uko sawa tu.

kwa mfano unaweza ukafanya mazoezi ukawa unatembea muguu moja unaonekana ni mfupi? n.k
kwa mimi napenda mwili uwe ballaced siyo uonekane kifuani umejazia lakn kuanzia kiunoni hadi chini umenenepeana.

mimi naenda gym lakn siyo sana kivile.
mazoezi yangu sana nikukimbia kwa speed kubwa.

nakaribisha maswali zaidi.
 
merengo90

Umetuwekea kwa njinsi gan unaweza chukua muda mrefu kuplank but hujatueleza faida za kuplank longer
 
Last edited by a moderator:
Shy land

Ni kwa umbal gan au kwa dkk ngap ukikimbia unaweza pata matokeo chanya?
 
Last edited by a moderator:
Umetuwekea kwa njinsi gan unaweza chukua muda mrefu kuplank but hujatueleza faida za kuplank longer

Hizo muscle ambazo zinatumika wakat wa zoezi unazifanya zinakuwa strong n fit.
 
Nataka nijue mazoezi ya kujenga mwili ndungu na kuongeza kilo

kuongezeka kwa kilo za mtu huapata na vyakula,
ili upate hamu ya kula unatakiwa ufanye kazi au mazoezi ya nguvu.
 
Did you know…?
 

Attachments

  • 1424069821141.jpg
    1424069821141.jpg
    41.9 KB · Views: 149
Kila mtu ana day one yake, usishindane mtu, bali tumia watu waliofanikiwa kuji motivate
 

Attachments

  • 1425460111137.jpg
    1425460111137.jpg
    28.4 KB · Views: 104
uzi mzuri sana hu...hasa kwa sisi wengine tunaojitahidi kunyanyua vyuma...tupe tips mkubwa za hi kitu
 
uzi mzuri sana hu...hasa kwa sisi wengine tunaojitahidi kunyanyua vyuma...tupe tips mkubwa za hi kitu

Tutaendelea kupeana tips, ila kama unaswali uliza piaaa
 
Back
Top Bottom