Words, writings translate them into actions! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Words, writings translate them into actions!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ELNIN0, Aug 10, 2010.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  I wish our words, writings would be translated into actions,

  Watanzania tu wanafiki sana, including myself. Everyone seems tired with the current system, but what have we done? Talk as usual and go to bed without taking tangible actions. If we are not careful our acts will be replicated even in the places where we work, just talk but fail to help our offices prosper and shine. I believe most of elite in Tanzania are responsible to all these.
  Imagine, hapa Dar ndo walipojaa wasomi ambao unawezasema wanachukia hii hali lakini wametushinda mpanda kati zaidi ya km 1500 toka Dar ambao walichagua CHADEMA long ago, angalia Tarime, Karatu, pembezoni kabisa ndo wameona mwanga, hivi tumerogwa na nani? Sisi kinachotucost Dar ni kuwa too much opportunist, mradi tukijua CCM ndo kwenye hela wote tunajaa huko bila hata kujua we are digging graves for our own burial, let us change this. It is to hurtful

  Katika hii dunia mara zote mageuzi ya kweli huanzia mjini, Ethiopia chama tawala kilishinda lakini walishindwa vibaya mjini addis ababa na mifano mingi kibao but here, mpanda ndo wanatufundisha jamani
  Tumia hata sms 2 kwa siku kumkumbusha rafiki, jirani, kijana na mzee kuwa we need to change. Sisemi CHADEMA ndo solutions, wanaweza kuwa the worst but let us teach these greeners and yellows a lesson, na wakati mwingine dar ikitoa wabunge wengi upinzani mikoa yote itareplacted si mnajua Dar ndo mwalimu na kioo cha mikoa yote Tanzania please people, it is not too late

  THE CHANGE BEGINS WITH YOU. VOTE VOTE VOTEEE FOR A CHANGE.
   
Loading...