word 2007

word 2007

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
msaada pc ambayo ina
word 2007 lakini haichapa
maneno kwani word
inafunguka lakini haichapi
nisaidieni
 
Keyboard inatype kwenye program zingine? Mfano unaweza kutype kwenye email yako?
 
Keyboard inatype kwenye program zingine? Mfano unaweza kutype kwenye email yako?

yaani shida ni kuanza mpya km kuedit kazi iliyokuwepo inafanya kazi kuanza mpya inafungua lkn ukichapa maneno hayatokei hule mstari unaonyesha maneno hauko
 
Back
Top Bottom