Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,882
- 2,813
Baada ya kugundua kwamba baadhi ya maeneo nchini Kenya yanakabiliwa na baa la njaa, serikali ya nchi jirani imeamua kutoa msaada kwa nchi zingine ikikusudia kufanya wakenya waone wivu. Mbona hawakutoa msaada hapo mbeleni? Wameamua kutoa leo ili kutafuta kiki na kuwacheka wa Kenya.
Anyway, for the trolls, lemme remind you that Kenyans are resilient people.
They always rise whenever they fall.
Anyway, for the trolls, lemme remind you that Kenyans are resilient people.
They always rise whenever they fall.