eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,661
- 13,811
Sisi kuwapa msaada hatujaanza juzi, hata kipindi kile cha mgomo wa madaktari tuliwapa msaada wa madaktari, we are longtime donor country
Huyu ni mtoto mdogo hayajui haya.
Nakumbuka mwaka 1986 alivyokufa Rais Samora Machel wa Msumbiji, nchi ilizizima utafikiri rais wa nchi yetu. Muimbaji John Komba alitoa vibao vyaa muziki ambavyo hakuna mTanzania aliyesikiliza kipindi hicho hakutoa machozi. Wale watu wa kusini ni ndugu zetu wa damu. Na msaada huu si wa mara ya kwanza kuutoa. Pia wale wako kwenye majanga ya mafuriko, wanahitaji msaada wa haraka.