Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,882
- 2,813
- Thread starter
- #81
You should ask joto la jiwe .He knows betterWhat happens daily?
You should ask joto la jiwe .He knows betterWhat happens daily?
Khah! eti kodi ya kuvuta hewa. Ina maana kila kitu wanalipia kodi hadi mapenzi na ndio maanaDada zao wanatesekaheheeeee...magufuli nyoroshe wote...hakikisha wanalipa kodi mpka ya kuvuta hewa...yani mpka raa...povuuuuuuuu...
bwahahaaaa.....
mtaisoma namba...hataki kujuwa km wewe ccm au nani...ndio manake wakulu wenu wanabadilisha kauli zao baada ya vitisho....maskini tanzania
Mstcheeeeeew!kwani nyie na hao was nairaland ni hewa tunayopumua mkituchukia tutakata roho .nyinyi na wanaijeri mnaongoza kwa uchawi na ulanguzi wa dawa za kulevya.kwanza wanaija wanachukiwa sana popote waendapoAlafu pote huwa wanashindwa na ukitaka nairand wakuone boya jitambulishe kama mkenya aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
yani jane wacha2...sai hko mpka wausza scrape hko wanatakiwa wajiandikishe ili wapewe vibali ..Khah! eti kodi ya kuvuta hewa. Ina maana kila kitu wanalipia kodi hadi mapenzi na ndio maanaDada zao wanateseka
Simiyu IPI hihi inayoongoza kwa kilimo cha pamba au simiyu ya Kenya?tatua njaa ilioko simiyu mwanzo acha umefi hapa
GOLDEN HEARTS👆👇you r so insecure trolls. I didn't even mention your country anywhere.
Anyway, the chain of hunger has been broken.
View attachment 1050042View attachment 1050043
APIAMstcheeeeeew!kwani nyie na hao was nairaland ni hewa tunayopumua mkituchukia tutakata roho .nyinyi na wanaijeri mnaongoza kwa uchawi na ulanguzi wa dawa za kulevya.kwanza wanaija wanachukiwa sana popote waendapo