Wonders shall never cease

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,882
2,813
Baada ya kugundua kwamba baadhi ya maeneo nchini Kenya yanakabiliwa na baa la njaa, serikali ya nchi jirani imeamua kutoa msaada kwa nchi zingine ikikusudia kufanya wakenya waone wivu. Mbona hawakutoa msaada hapo mbeleni? Wameamua kutoa leo ili kutafuta kiki na kuwacheka wa Kenya.

Anyway, for the trolls, lemme remind you that Kenyans are resilient people.

They always rise whenever they fall.
FB_IMG_15530191910750098.jpg
 
Baada ya kugundua kwamba baadhi ya maeneo nchini Kenya yanakabiliwa na baa LA njaa ,serikali ya nchi jirani imeamua kutoa msaada kwa nchi zingine ikikusudia kufanya wakenya waone wivu. Mbona hawakutoa msaada hapo mbeleni? Wameamua kutoa leo ili kutafuta kiki na kuwacheka waKenya.
Anyway, for the trolls, lemme remind you that Kenyans are resilient people.
They always rise whenever they fall.
Acheni kulima maua kwa ajili ya wazungu limeni chakula kwa ajili yenu.
 
. Wapelekeeni waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.
Hahahaha, unanichekesha sana. Kwa njaa waliyonayo hata ukiwapa Viagra hawawezi kusimamisha, usicheze na njaa Wewe. Ila ninamuomba Magufuli awaangalie Wakenya kwa jicho la huruma.

Na ninyi Wakenya mpunguze ujinga wenu wa kujifanya mnajua kila kitu na roho ya ubinafsi, ninyi mnashindana na kila nchi hapa Africa, Nigeria, South Africa, Angola, you name it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kama wanazaana wakiwa na njaa mkiwapa chakula waatawashughulikia hao dada zenu ipasavyo.
Hivi Kati ya jirani yako na ndugu yako wa damu wakipata matatizo, utaanza kuisaidia nani kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mngesaidia watz kwanza kabla ya kusaidia majirani .watoto walaji kinyesi wangesaidiwa kwanza

eti vitu vya ajabu wanaingiza ndani,wapi?..ebu nieleweshe kwa kina..ndani,wapi?
Ndani ya sufuria
 
Hahahaha kama wanazaana wakiwa na njaa mkiwapa chakula waatawashughulikia hao dada zenu ipasavyo.

Mngesaidia watz kwanza kabla ya kusaidia majirani .watoto walaji kinyesi wangesaidiwa kwanzaNdani ya sufuria
Hizi jeuri zenu ndizo zinatufanya tuwaache na kukimbilia SADC. Magufuli hiyo chakula unayopanga kupeleka Kenya, ongezea Msumbiji achana na hizi nyang'au ziendelee kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu pote huwa wanashindwa na ukitaka nairand wakuone boya jitambulishe kama mkenya aise
Hahahaha, unanichekesha sana. Kwa njaa waliyonayo hata ukiwapa Viagra hawawezi kusimamisha, usicheze na njaa Wewe. Ila ninamuomba Magufuli awaangalie Wakenya kwa jicho la huruma.

Na ninyi Wakenya mpunguze ujinga wenu wa kujifanya mnajua kila kitu na roho ya ubinafsi, ninyi mnashindana na kila nchi hapa Africa, Nigeria, South Africa, Angola, you name it.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom