Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Hebu wadada muwe honest!!!!!
Ukimkuta your husband wako na totoz za habarii namna hiyo nini kifuatacho ITV
Ntampongeza
Ntamwambia mume wangu unajua kuchagua vituz
Hebu wadada muwe honest!!!!!
Ukimkuta your husband wako na totoz za habarii namna hiyo nini kifuatacho ITV
Hahahahaha omba mie nakusaidia kuomba ban
mmmm wewe miss neddy sio kweli bana.....unamjua kichuna wangu DEMBA?
Hebu wadada muwe honest!!!!!
Ukimkuta your husband wako na totoz za habarii namna hiyo nini kifuatacho ITV
Holy sweet mother of heaven!!!!!
enheee
Weeee kibabu kipo
Kwa mchepuko wake mbagala
Unataka kije hapa
Huku kikojoleo chake kinapunga upepo??
Hahah( sijasema mimi usiniquote)
Hahahaa sijaku quote
Basi tulia tuli...hivi kuwa miss ndo pamoja na kuwa na hips za nchi tisa?
Kaka miss bantu me ndo ugonjwa wangu yakhee
kina english figure tukae mbali