Women's Hips Could Influence Sex

Women's Hips Could Influence Sex

Naona leo siye vimbaumbau na vifupi mmeamua kutunanga,

1185034_227865630670811_772778864_n.jpg
 
Kuna wanawake wamejaaliwa hips kama malaika. Mimi napenda zile "come-get-me" thighs and hips kama cowgirl na holsters on each side.Ah si mchezo aise!!
 
Ile mizigo yetu ile....hatari sana Sheikh....

CC Kaizer

Allah Wakbar sheikh...sio mchezo

Ila mm naona hilo la kuwa attarctive zaidi kwa male partners linaplay role kubwa zaidi....maana bila ivo hao wanaume watawapata wapi kuwatongoza ili wakubali au wakatae? Na ndio maana ambao ni vimbau mbau watakayempata wanamfanya kuwa kwen relationship maana akicheza tu hampati mwingine.

Mwen hips kunbwa kwa kifup ana uhakika wa soko....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kaizer !! kwa upendo tu nikunasihii "maneno unayotumia sii pahala pake (Mashalla,Allh akbar)... waweza comment kwa mengine yapo maneo tosha.Ahante na ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Allah Wakbar sheikh...sio mchezo

Ila mm naona hilo la kuwa attarctive zaidi kwa male partners linaplay role kubwa zaidi....maana bila ivo hao wanaume watawapata wapi kuwatongoza ili wakubali au wakatae? Na ndio maana ambao ni vimbau mbau watakayempata wanamfanya kuwa kwen relationship maana akicheza tu hampati mwingine.

Mwen hips kunbwa kwa kifup ana uhakika wa soko....

uhakika wa soko wanao ila wengi wanaishiaga kuwa jamvi la wageni hawaolewi sijui kwa nn
 
Back
Top Bottom