Women with higher IQ's...

mkuu mimi hata sijui ndo maana nikasema kama kigezo ni pesa basi wana akili sana hao watu for sure sasa sijui tunawajumuisha wote waliopata ki halali na waliofanya mishemishe mjini sijui hapo ndo inakuwaje
 
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?

It takes a man with High IQ to recognize a lady with one.

Sure and the next task is to configure and codify her accordingly!!!!!

Na hapa ndio wengi huchemkia, ooonh mbishi, sijui ana kiburi, hasikii, anajidai kasoma na kama hayo!!!!!
Ukisikia haya kwa asilimia nyingi ujue mtu kakikwaaa "kisiki" tayari
 
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?

Naam, uzuri wa mwanamke inaweza kuwa choice ya mwisho kabisa huo ndio ukweli, wanaume hatuoi wake ili wakashiriki mashindano ya urembo.

Bado ujajiuliza kwa nini models wengi hawaolewi? Kuna Genious Zitto Kabwe ana kila kitu lakini ukijiuliza kwa nini haoi ukiijuwa siri yake ndio utazidi kushangaa haya mambo yalivyo.
 
Waafrika wote ni mild-mental retardation IQ range from 50-70 so piga ua wote ni mental retardation sema tunatofautiana vipoint
 
Waafrika wote ni mild-mental retardation IQ range from 50-70 so piga ua wote ni mental retardation sema tunatofautiana vipoint

Ni mpaka itakapodhihirika bila shaka yoyote!!!!

Hivi unajua hata keki ina maneno lakini haijijui kama inayo???!!!
 
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?

halafu watoto huwa wanafata akili za mama zaidi ( hiyo ni kitaalam).
 
ukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.
wanaosokota dreads je? lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…