Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,591
Mimi hapa ndio nimesema tena nashangaa ni kwa nini maprofesa wetu ambao wengi wana poor IQ hawajamtunuku PHD Bakhresa badala yake hizo PHD za heshima wanapewa watu walioshindwa kama Kikwete.Kuna mmoja kasema nyumba anayomiliki ni kipimo tosha. I think iq ya bakheresa si mchezo aiseee
a virgin ndio woman with high iq...hawa wengine waliopigwa free p kabla ya ndoa very low iq. i mean how cn u say mtu ana high iq if they cnt even value their body.
its blessing and a curse
ha ha..! Hakyanani hamna aliyebaki hapo. Na wanaume je??
Sasa dada yangu umenikuna ngoja niwape siri ambayo Wanawake nao hawaijuhi kuhusu Wanaume kamili wanaojielewa siyo wale nyege mkononi....
Ni kwamc wanaume wote makini ukiweka mapenzi pembeni wanaangalia zaidi IQ ya mwanamke na akishaigunduwa swala ndoa wala utamuuliza wewe mwanamke ni yeye mwenyewe anapropose kwa ukweli kabisa,
Tatizo kubwa naliona hasa la uchumba Sugu ni kwamba wanawake wengi warembo wana poor IQ na wanaume huwa wanakuwa kama spotlight tu na kuoshea tu, lakini ikifika issuue ya kuoa utashangaa mwanamke anayemuoa anakuwa siyo mzuri sana kivile kama huyu mrembo ambaye hakumpa heshima ya kuwa mke.
Si kwamba wanaume wanawaogopa wanawake warembo hapana ila wengi wao yale madraya ya salon yameshaharibu ubongo wa wanawake wengi.
ukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.
hahaha nadhani nilishaistukia hii siri siku mingi sana. ndio maana kuna mtu anamshangaa paw kwa kuwa na mwanamke mkorofi na asie mrembo (mweeh mie mrembo kiduchu bwana, snowhite njoo uthibitishe jamani). Au kuna mtu anashangaa why unakuwa unamzimikia wifi lara 1 na anavyoandika kinduli nduli.
Shida ni je, IQ ni death sentense? Manake unafanyaje kujiongeza? Manake jamani mtu mwenye IQ ndogo ni mzigo. Smallest thing anakuwa offended!
most men seem intimidated when they deal with smart women i have found
nasema hiviii, mimi ni mrembo ( i mean inside out, not outside-in)
sijui umeniereeeeewa?:llama::llama::llama:
wewe mama Evz,guts za kuniquote umepata wapi...???. Nadhani hujafahamu neno iq
hapo kwenye blue record zako zinaonesha jinsi ulivyo na iq kubwa...(visanga vyote hivi at just the age of 21..what a drama queen!!)kama ndio iq zinapatikana hivyo kwa kupost na kushinda jf basi ntakuunga mkono.
Ndio unapruvu IQ kwa majibu kama ya Mesiah???!!
Hahaha. Marhabaa. Ushatua Bongo?
i am like a big road with a lot of signs.
When you are driving through this road, dontcha complicate your mind. Utasandaaaaa!
Afu nimekumisije, umekula idd mwenyewe mwenyewe?
H aha haaaaa yule mwehu mwenzio "dont study me coz u will never graduate" aka Kongosho ndio anakumbwembwelize???!!!
We si uko bize bhanaaa!!!!
Ila ujue kaka ndio mshua just incase!!!!
Kwa comment za watu hapa zimenifanya nianze kumchunguza Fatuma ndala ndefu wangu hapa kama ana iq ya Mwamvita au ya Wema.
Hahaha yule mwehu kimeo sana aisee, ataniharibu kichwa. Mie ntoto wa watu akhuuuu, mpoleeee kama maji ya mtungini. Ofcoz kaka ni mshua wa ukweli ukweli, haina ubishi hapo.
#nikobusy