Women who have more male friends

Women who have more male friends

Ni male friends ama men friends bwana. Raha sana huh? Afu unawababatiza hawawezi hata kukutongoza.

Ukiona hivyo hao wanaeza kuwa wanakupigia puli. Yani awe hana mbunye afu akae tu na mwanamke all day/night mko tu ka dada ako🏃🏃🏃? Hao mmmh haya

Kumbe male flulend na boyfulend kuna tofauti? Mweee mi wa sumbawanga mshamba
 
Hehehe, hamna bwana. Hawapigi puli, male friends wasio na wachuchu nao vimeo tu. Like Kongosho saidi, ukiwa na wehu kama hao you never sleep around. Unajua pick up lines zoote, unakuwa ngangari. Kwanza wanakuona kama mchizi mwenzao hata huwatii hamu!
Ukiona hivyo hao wanaeza kuwa wanakupigia puli. Yani awe hana mbunye afu akae tu na mwanamke all day/night mko tu ka dada ako������? Hao mmmh haya

Kumbe male flulend na boyfulend kuna tofauti? Mweee mi wa sumbawanga mshamba
 
Last edited by a moderator:
ukikaa sana na wanamme unakuwa mwanamke mgumu sana, japo ni raha, na siku zote unakuwa 'their princess' in their ways.

Hawakuachi ujione huwezi, utaweza karibu kila jambo wanalofanya.

Dah, i miss them!!!

Kweli kabisa umenena mkuu.
 
JF raha sana people talk about real life, I like it na unakuta mdada mwenye marafiki wa kiume anakuwa anajiamini na kufanya mambo makubwa ya kimaendeleo like men do, na umbea umbea unapungua kwa kuwa kuna mambo hawezi ongea akiwa na wanaume kama mume wangu yupo hivi na vile, so muda mwingi anakuwa ni masuala ya viwanja vinapatikana wapi, bussness na mambo mengine yanayoendelea duniani.
 
Back
Top Bottom