Women Who can't handle their drinks

Pombe si chai ndo maana mi huwa napenda Smirnoff ziwe pembeni ya kitanda
zikinizidi nalala, au kama ni bar basi mupenzi awe pembeni
atajua cha kufanya kama atanibeba kama ataniburuza hadi nyumbani poa tu
ukilewa watu wanachangamkia fursa oooohoooo
 
Acha hizo wewe kunywa pombe usahau shida...imeandikwa!!!
 

A retired what? Hell am coming for your neck, lol.
 
Karucee nilishawahi kulizungumzia jambo hili wakati fulani, waweza kupitia link hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/215246-kupombeka-na-aibu-ya-mwanamke.html
 
Last edited by a moderator:
Karucee nilishawahi kulizungumzia jambo hili wakati fulani, waweza kupitia link hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/215246-kupombeka-na-aibu-ya-mwanamke.html


Kwa hiyo Mzee mwenzangu Mtambuzi, ..tuwabane TBL na SBL watupiemo ka tangazo kama kale ka-warning ka sigara kwamba....."Beer is not good for dada/mama zetu"??

I need some more facts kwani nimekuwa nalichukulia kilaini laini hili suala...

Hata hivyo, huu ushuhuda wa wenye mji unalifanya liwe jambo nyeti kuanzia sasa!!
 
Last edited by a moderator:
Karucee,

Pia tupia ushauri wako kuhusu mambo ya baadhi ya pombe kumkimbiza mwanamke (over stimulated) hadi atamani kukamata njemba kwa nguvu!
 
Last edited by a moderator:
Help me with one thing mupenzi Karucee...

Hii ni kwa wanawake tu au kuna wanaume pia naoa wakionja kilaji network inatokomea?

Nahitaji msaada wa wenye nchi...
Asprin, Teamo, The Boss, gfsonwin, Fixed Point, Kaunga...

Na wanaume pia wapo my kaka. And they are very dangerous.

Ugomvi, kushika kila kalio linalopita, kuongea pumba...... Am telling you its a nightmare. Kidogo kidogo am withdrawing from the bars as a move towards quitting my Forever Faithful.

Two weeks ago, a guy I was friends with way back then was in town and I was in town too plaiting my hair. We met later for drinks and stories pale Cataluna. After some time we moved to Samaki Samaki Mcity. It was a beautiful night. Tunakumbushana memories.... we had both lost a very dear friend and we remembered her with fond memories. Sasa bwana wakati wa kuondoka ile card hana. Walipomuitisha he fished out a gun from the glove compartment.

I was lost for words. I sat there glued to my seat. He came and dragged my ass from the car akaniambia twende. By this time tulikuwa tumezungukwa na very many security guards. It was a lose lose situation. I could see that but he couldn't. Nilichokifanya ni kurudi chini and I spoke very calmly to him. Nikawapigia simu best zangu wa Sinza wakaja because aliniachia mkono but no way ningemuacha pekee yake.

To cut the story short I came back safely to my family. The issue was resolved but na hela ilimtoka.

So yes, na wanaume wapo usiombe kukutana nao.
 
Karucee,

Pia tupia ushauri wako kuhusu mambo ya baadhi ya pombe kumkimbiza mwanamke (over stimulated) hadi atamani kukamata njemba kwa nguvu!

Babu hii nimeiona sana pia. Mwanamke anahangaika meza hadi meza. She may buy you a drink, or even two meza nzima halafu anaaza kushika shika wanaume.
 
Wanaume ndio hatari kabisaaa...kuna siku tulienda zbar kwenye mapumziko, tulikuwa watu sita..men alone! Jamaa wawili walikuwa wanakunywa balaa. Mwenyeji wetu akatuonya kutowaacha pekeyao maana wakizima tu jamaa lazima wawafumue marinda...

Wazanzibari walevi asilimia kubwa wamefumuliwa marinda...siku hizi nasikia hadi huku uko huo mchezo!
 
Commendable Note there!
The highlighted potion, Intrigues as Well.
Didn't know you are this Hardcore.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…