Women: When is it OK to go braless?

Women: When is it OK to go braless?

Labda ni kama vile mwanaume anavyofeel akitembea bila chu**

aluu unless una kabamia, ile kitu inasway kama pendulum huko ndani! sasa uombe usiwaze wala kuona 'mambo mabaya'.....yale mambo ya mluzi...
 
Hata mie kaka nimeshanga nikadhani umeibiwa password!

Me am not the right candidate maana ah mashallaw nimejaaliwa kifua so cant go without it!!😉

MwanajamiiOne

Mashallah! Umejaliwa kifua?

Kwa upande wangu, mwanamke mwenye kifua ndiye nitakayemtazama, asiyenacho wala simwoni, namwona "mtoto" tu.

So, MwanajamiiOne, ungepita mbele yangu, nitake nisitake, ningekusemesha tu!

LOL

./Mwana wa Haki
 
Mwana Haki

How do your perceive/feel ukimwona mdada anatembea braless?
 
labda niongezee kwa upande wa wanaume:

Do you find braless women sexy or not sexy compared to 'unexposed' boobs? What are the limits kwa upande wetu kibongo bongo?

nakaribisha maoni....leo sijui nimeamkia wapi

Natamani ningechangia, bahati mbaya navutiwa na (mwanamke) manywele na Reception, ikifuatiwa na maumbile kuanzia nyongani mpaka vidoleni (miguuni)...

hapo kifuani nimewaachia watoto na chakula chao!
 
kweli binadamu tunatofautiana...yani mkuu dipatiment ya kifua wewe haikugusi kabisa...lol
 
kumbe huna habari eh???? ni Pm nikupe uhondo basi!!!! shhhhhhhhhhhhhhhh!

ai mbona PM yako ianniambia iko disabled kwa member kukutumia PM...lol!

hebu japo kwa muhtasari tu...
 
Mwana Haki

How do your perceive/feel ukimwona mdada anatembea braless?

Kama ana kifua, ntamwona mshamba (hana elimu, au hajui umuhimu wa bra, au yuko 'kazini') lakini kama hana kifua ntamwona wa kawaida, sawa sawa na binti ambaye hajabaleghe.

Kama ana kifua, hatanishawishi. Ingawa wanasema kwamba bra nyingine 'zinadanganya' kwa kuyafanya matiti 'yaliyolala' yaonekane mazuri, well, kama umejaliwa, ukiwa nyumbani kwako unaruhusiwa kuwa bila bra, ila ukitoka tu, mwanawane ukiisahau, kasheshe laweza kukupata huko njiani.

So, kwa upande wangu, aliyejaaliwa kifua kisha asivae bra .... soma hapo juu.... asojaliwa .... soma hapo juu.

Nimekujibu?

./Mwana wa Haki
 
MwanajamiiOne

Mashallah! Umejaliwa kifua?

Kwa upande wangu, mwanamke mwenye kifua ndiye nitakayemtazama, asiyenacho wala simwoni, namwona "mtoto" tu.

So, MwanajamiiOne, ungepita mbele yangu, nitake nisitake, ningekusemesha tu!

LOL

./Mwana wa Haki

Mh we naye huna dogo, ka ndugu wa mume!! (joke)
 
hahahha kweli kaizer leo umeamkia ufukweni,............tena nadhani ukaona wanawake wanogelea bila nguo kifuani duh! kesho ntakwambia ninavyofeel ngoja niwahi kunyonyesha

okay agika...I will be waiting..and will not forget...
 
kweli binadamu tunatofautiana...yani mkuu dipatiment ya kifua wewe haikugusi kabisa...lol

...tena wala jicho halishtuki, nawashangaa mnaoshangazwa na 'chakula cha mtoto'.

Kwa 'Mswati' ya kawaida tu hayo.
 
Kwa Mswati....hivi wanakaaga vile vile siku zote au niaje mkuu,i mean umafanya kautafiti kujua kuwa kwenda braless ni kawada kule? manake nadhani pato la visa tu lingewatosha
 
Kama ana kifua, ntamwona mshamba (hana elimu, au hajui umuhimu wa bra, au yuko 'kazini') lakini kama hana kifua ntamwona wa kawaida, sawa sawa na binti ambaye hajabaleghe.

Kama ana kifua, hatanishawishi. Ingawa wanasema kwamba bra nyingine 'zinadanganya' kwa kuyafanya matiti 'yaliyolala' yaonekane mazuri, well, kama umejaliwa, ukiwa nyumbani kwako unaruhusiwa kuwa bila bra, ila ukitoka tu, mwanawane ukiisahau, kasheshe laweza kukupata huko njiani.

So, kwa upande wangu, aliyejaaliwa kifua kisha asivae bra .... soma hapo juu.... asojaliwa .... soma hapo juu.

Nimekujibu?

./Mwana wa Haki

Mkuu Mwanahaki, nakubaliana na wewe...kuna ambao wana 'vifua vya wastani' kiasi kwamba yeye akivaa asipovaa ni sawa tu....bado atakuwa yuko sawa ila kasheshe kwa siye wa nje...tukiona, kwa mfano chuchu zimechomoza nk, nadhani ndio kinachowafanya wengine waone kuwa wasipovaa, wako uchi

Lakini pia hili halionekani kama kuwabania uhuru wanawake ambao wangependa kwenda braless? hasa kama kifua kinaruhusu?
 
Kwa Mswati....hivi wanakaaga vile vile siku zote au niaje mkuu,i mean umafanya kautafiti kujua kuwa kwenda braless ni kawada kule? manake nadhani pato la visa tu lingewatosha

...mila za kule bana hata kama ni mara moja kwsa mwaka (kama ile mwaka koga ya Makunduchi) zinaniacha hoi sana bana...

haijalishi bi mrembo kastiri 'chakula cha mtoto' miezi kumi na moja, siku akiyatundika hadharani inatosha kushusha hadhi yooote ya miezi ilotangulia.

Halafu hii picha ya huyu Mswati na bintiye wa miaka 21 mnh... hata siiweki hapa, mwenye kutaka 'kuunguza' vidole aibonyeze hii link...(shauri yako)

http://www.mongrelmedia.com/data/ftp/Without the King/5.jpg
 
Bra zinafanya matiti yaanguke upesi hasa kwa mabinti wanaochipua. Matiti wakati yakikua yakijitegemea bila kubebwa misuli huimarika na hivyo hayataanguka upesi kulinganisha na yale ambayo hayakupewa nafasi ya kujitegemea. kwa upande wa pili chuchu zina mvuto wa pekee hasa wakati wa baridi.
 
hayo niliyackia kabla cjawa binti, nilizoeshwa kuanzia usichanani, na mpaka leo hayajaanguka kihivyo japo wanayatumia baba na watoto wake.
 
........ Dada yangu hapo ndo unaponifurahishaga.......... ukweli na uwazi lol

Kina Mbu wanadai ni chakula ya watoto tu!!
 
Back
Top Bottom