Women: When is it OK to go braless?

mi naona bra sio lazima saa zote bwana kuna wakati unaweka tu vile vibandiko kwenye hizo ninihii.. wenyewe wanaita nipple covers...unalamba pamba yako..unakamata mkono wa Mr mnaenda zenu out!
 
yote sawa tu! BUT i would say the imagination that the chick is without it is mmmh!especially kama hayaonekani kuanguka na kama chuchu kwa mbali zinaonekana kutoboa.....ayaaaa mashallaaah!!
 
You are a real loving model. Jamaa atakuwa anainjoi kinoma.
 
hayo niliyackia kabla cjawa binti, nilizoeshwa kuanzia usichanani, na mpaka leo hayajaanguka kihivyo japo wanayatumia baba na watoto wake.
heheheheeeeee kaaazi kwelikweli na sie wenye kandambili za Hashim Thabit? tusemeje nyamayao
 
yote sawa tu! BUT i would say the imagination that the chick is without it is mmmh!especially kama hayaonekani kuanguka na kama chuchu kwa mbali zinaonekana kutoboa.....ayaaaa mashallaaah!!

hizo ch**ch**zinapatiwa vibandiko tu mchezp kwisha...haina maana kwamba pasivaliwa bra basi mtu ndio utembee na mikuki kifuani kama vile umeambiwa huko uendako kuna Osama...
 
heheheheeeeee kaaazi kwelikweli na sie wenye kandambili za Hashim Thabit? tusemeje nyamayao

ucwanyime haki yako coz ni kandambili, mie nawapa kwa kujinafac, wacha yawe ndala kabisa.....lol...
 
Of course zamani haikuwepo, lakini hapa tuangalie zaidi wakati tulio nao,,..ya zamani yamepita kitambo!

kwa wale wanaokwenda kwa mwendo wa braless...huwa wanalionaje hilo na wanajisikiaje tofauti na wakivaa?

kwangu mimi naona wakati mwingine ni sexy kama alivosema mkuu Chrispin hapo juu..kuivua kabla ya majamboz inaleta 'mhemko' flani hivi,

Lakini kwa upande mwingine imaginations....za kwamba mtu hajavaa.....

Pedofil
 
ucwanyime haki yako coz ni kandambili, mie nawapa kwa kujinafac, wacha yawe ndala kabisa.....lol...

We mtoto leo umeamkia upande gani? Lol! Yakishakuwa kandambili kama kawaida yetu tunaingia mitini. Shauri yako we yatoe tu. Utajajuta kabla umri haujafika.
 
hizo ch**ch**zinapatiwa vibandiko tu mchezp kwisha...haina maana kwamba pasivaliwa bra basi mtu ndio utembee na mikuki kifuani kama vile umeambiwa huko uendako kuna Osama...

Lakini mikuki ina raha yake mamii, especially unapokuwa na baba mruhusiwa vyote.
 
Well kwangu mie naona inategemeana na maumbile ya mtu binafsi, unajua kuna watu wengine wameumbwa na maziwa makubwa sasa hawa wa aina hiii wengi wao huwa wanaona kama wameonewa tangu usichanani huwa wanajaribu sana kuyaficha kuna wengine huwa wanapata kibyongo cha kujipa wenyewe kisa wanajaribu kuinama kuficha maziwa, so mtu kama huyu hata siku moja hawezi kutembea bila sidiria kwanza hana confidence hata akiwa na mpenzi wake ndani sembuse kaizer akayaone barabarani?

kuna kundi la pili ambao wao wana maziwa madogo ambayo asipovaa sidiria Zenye vibandiko vya ziada hana tofauti na fidel, nao hawa huwa hawajiamini hata mbele ya wapenzi wao coz i hav seen one,huwa wanaomba Mungu angewapa maziwa makubwa, so na hawa nao hawawezi kutoka braless coz wanajisikia na mapungufu flani mwilini.

Pia kuna kundi lingine wana maziwa ya kiasi lakini yamelala kama ndala za nyamayao , hawa nao huwa hawataki kuonekana wako nyuma wanataka waonekana na wao ni yamesimama saa sita, kwahiyo the only way is kupiga jeki babu ili nao waonekane wana cleavage mhhhh!!!

sasa kuna wale waliojaaliwa ziwa lililosimama mwanzo mwisho , hawa hata wanyonyeshe mapacha wanane na wanaumme wote wa JF bado watabaki saaa sita yamesimama. so hawa mara nyingi wana confidence na hasa kwenye mitoko ya jioni huwa wanajiachia zaidi , na hiyo cleavage ndo usiulize maana ni full kujiachia. kuhusu wapenzi wao ndo huwa wanafanya makusudi na hassa wakijua ndo ugonjwa wa wapenzi wao basi sidiria inakuwa haina nafasi kiviiiiileeee
 
Ngoja wataalamu wakusikie...
 
Aksante mamii sasa ngoja nijitafute niko kundi gani.
 
Ngoja wataalamu wakusikie...

Kaka/Dada kimey............ shikamoo kaka/dada yangu.

Samahani naweza kukuconvince ukaondoa hiyo picha kwenye avatar yako? Samahani lakini
ila kama haiwezekani basi kaka/dada ila Mi huyo mdudu mh hapana
 
Last edited:
Well kwangu mie naona inategemeana na maumbile ya mtu binafsi,

unajua kuna watu wengine wameumbwa na maziwa makubwa sasa hawa wa aina hiii wengi wao huwa wanaona kama wameonewa tangu usichanani huwa wanajaribu sana kuyaficha kuna wengine huwa wanapata kibyongo cha kujipa wenyewe kisa wanajaribu kuinama kuficha maziwa, so mtu kama huyu hata siku moja hawezi kutembea bila sidiria kwanza hana confidence hata akiwa na mpenzi wake ndani sembuse kaizer akayaone barabarani?

kuna kundi la pili ambao wao wana maziwa madogo ambayo asipovaa sidiria Zenye vibandiko vya ziada hana tofauti na fidel, nao hawa huwa hawajiamini hata mbele ya wapenzi wao coz i hav seen one,huwa wanaomba Mungu angewapa maziwa makubwa, so na hawa nao hawawezi kutoka braless coz wanajisikia na mapungufu flani mwilini.

Pia kuna kundi lingine wana maziwa ya kiasi lakini yamelala kama ndala za nyamayao , hawa nao huwa hawataki kuonekana wako nyuma wanataka waonekana na wao ni yamesimama saa sita, kwahiyo the only way is kupiga jeki babu ili nao waonekane wana cleavage mhhhh!!!

sasa kuna wale waliojaaliwa ziwa lililosimama mwanzo mwisho , hawa hata wanyonyeshe mapacha wanane na wanaumme wote wa JF bado watabaki saaa sita yamesimama. so hawa mara nyingi wana confidence na hasa kwenye mitoko ya jioni huwa wanajiachia zaidi , na hiyo cleavage ndo usiulize maana ni full kujiachia. kuhusu wapenzi wao ndo huwa wanafanya makusudi na hassa wakijua ndo ugonjwa wa wapenzi wao basi sidiria inakuwa haina nafasi kiviiiiileeee

Duh kweli subira huvuta heri, nimekusoma agika.ungenidanganya ungekoma....

Kumbe sasa inategemeana na mwonekano wa mtu, I mean kumbe zinavaliwa zaidi kutokana na maumbile na SIO jinsi maadili yetu yanavotuongoza kuwa ni vema/si vema kwa mwanamke kuvaa bra....

maana kutokana na maelzeo ya wengine, kwena braless hata kama ana viduuchu bado anajisikia uchi..but hapa mtazamo mwingine ni kuwa mtu anakuwa hana confidence mbele ya mpenzi wake,

Huku wale wenye yamesimama huwa wana confidence na hata kufanya MAKUSUDI kututega....?
 
Ungekuwa mwanafunzi wangu ningekupa 95% na 5 ningeretain ya muda na wino wangu. Very well said!
 
Ngoja wataalamu wakusikie...
Uwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii , jamani napiga ukunga, mods nisameheni ila kwani wanaume wa JF hawa.......?

ila nawe mdakuuuu , unakaanga mbuyu tu uwachieee.............................
 
Back
Top Bottom