Women want to be told “I LOVE YOU” in many various ways

dia ICU,yani hata ukiniambia "I love you" mara mia lakini mfano nikiumwa haujali,au nikiwa na tatizo lolote haupo.
Pengine wewe huna muda na mimi kila siku baa au kwa marafiki zako.Na hata wakati mwingine out zako huendi nami.Hivi unategemea hizo'i love you ' zitasaidia nini?Wanawake huwa tunamuvuzishwa sana na vitendo kuilko maneno matupu.
Charity, hapo kwenye red umenigusa sana maana nimeshaiona sana hii kwa rafiki zangu, kweli I LOVE U only is not enough, naanza kukubaliana na MM na Gajin
 
love has never been enough!
since hakuna kipimo cha mapenzi, huwezi kujua kama wewe na patner wako mnapendana sawa sawa.
kuna vitu vingi vinavyochangia kudumisha mapenzi
kwa upande wangu nafikiri
mwanamme kuwa kiongozi wa nyumba kwa yote ni muhimu. he should earn more than i do ( hii nadhani inaleta respect kwenye nyumba),
asiwe mbaghili, sio kwangu tu, lakini pia we mtoa sadaka
Maneno yako yanaushawishi mkubwa sana Mkuu, hasa hapo kwenye red na blue. Ila kote nilikohighlight kunahitaji mjadala zaidi hatuwezi kuacha haya yakapita hivi hivi tu. Am coming soon
 
Marrying someone for his money. "I am in love with you big pochi." Pesa zikikatika na wewe unachanja mbuga. Huna mapenzi ya kweli wewe. Bora ujiite NO LOVE BUT GOLD DIGGER.
haha did u even bother to read what I have written... money is ur big problem? i advice u to work hard and make more money... because there is no such thing called love with ur empty pocket, empty stomach or homeless... there are bills to pay, tell me how that love will help u to pay the bills...u dont want ur woman to pay ur bills.... do u now? and u gonna call urself a man...

I just prefer a real man...
 
Charity, hapo kwenye red umenigusa sana maana nimeshaiona sana hii kwa rafiki zangu, kweli I LOVE U only is not enough, naanza kukubaliana na MM na Gajin

badili tabia,wifi yangu asije akakukimbia.
btw,hongera kwa AWARD.unabidii sana.yani kujiunga march hii na award juu.

ICU
spam_16.png

JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Mar 2010
Location: ICU
 
haha did u even bother to read what I have written... money is ur big problem? i advice u to work hard and make more money... because there is no such thing called love with ur empty pocket, empty stomach or homeless... there are bills to pay, tell me how that love will help u to pay the bills...u dont want ur woman to pay ur bills.... do u now? and u gonna call urself a man...

I just prefer a real man...

huh! so a man with no money is not a real man!? Just change your name to A TRUE GOLD DIGGER. Just find yourself a fisadi who will be able to take care of your needs as a GOLD DIGGER.
 
Back
Top Bottom