Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
Samahan Fixed Point kumbe wewe ni she?
Mkuu ICU, ile thread yako ya nani namhusudu hebu nisaidie kumuondoa Egyps Women niwekee huyu dada FP.
Mchango wake umenikuna sana. Nami navutiwa na wanawake wenye mitazamo kama wake FP.
Ni hayo tu
Thanx Tripo9, kumbe unawazimikia strong women? ha ha haaaaaa