Women want to be told “I LOVE YOU” in many various ways

Hapa before going any further can we take a minute or two and ask ourselves what is love.? What is this Love that seems to be so elusive mpaka tunaishia kudanganya badala ya kuwa wakweli all the time.
 
Hiyo sio kweli.wanaume ndio watata sana.Hawapendekagi kirahi,wamegubikwa na tamaa na sio mapenzi ya dhati.Hata ukitaka kuangalia wanaume ndio waanzilishi wa matukio mengi mabaya(eg kuchinja albino nk.)
Na kwenye ndoa wanawake ni wavumilivu sana wa tabia mbaya za wanaume(wanwake wanavumilia sana na kuficha siri za wanaume hata kama inamtesa vipi kwa ndugu za mwanaume)Wapo tayari mara nyingi kubeba lawaza za waume zao lakini si wanaume.
Na hiyo ya kusema wanawake wanagombana na kumwambia mwenzie tabia za kike nayo ni dhana potofu tuliyopandikizwa wanawake ili tujione hatupendani ili kututawala zaidi.

Kama wanaume ndio wanaanzisha matukio mabaya, vipi katika kuleta madawa ya kienyeji na za imani potofu kwenye familia? eg. limbwata....... Je, huo ndio uvumilivu na kubeba lawama za wananume kwa wanawake?
 
Mimi sitaki a man to tell me he loves me, I want him to love me. Mambo ya kusema "I luv u" kila mara wakati moyoni sio kweli hayapendezi. na a genuine woman anataka love tu kwa mwanaume, na sio vitu vingine. Unaweza ukapata vitu vingine sehemu yoyote, lakini sio love.

you have said it well my dear......
 
Asante kwa majibu mazuri FP lakini bado nina tatizo ni wakati gani hasa mwanaume amwambie mwanamke wake I LOVE YOU? Kuna specific time/period?[/QUOTE]


I believe kuna specific time ni vizuri ukamwambia mpenzi wako I love u. mfano amekushauri jambo fulani zuri, au amekufanyia jambo zuri. sometimes unaweza kumwambia for no reason but once in a while. sio kila mara I love u, hata kama upo na mpenzi mwingine unamu-sms kumwambia I love u; hiyo haikubaliki

Naomba nipingane na wewe husiana na specific time ya kumwambia mwenzi wako kwamba unampenda. Ninaamini kwamba neno 'I Love You' huwa linatoka toka chni kabisa uvunguni mwa moyo wa mtu na kuwekwa wazi lisikike na mlengwa. Pia kwa ufahamu wangu wa mapenzi ni vile vitu vidogo sana ambavyo mara nyingi huwa tunaviona havina maana wala msingi katika mapenzi yetu ndio vina umuhimu zaidi na ndio hivyo vinavyothibitisha upendo wetu kwa wenza wetu in one way or another.

Kumaanisha lile ambalo unaongea unahitajika kumfanya mwanamke wako ajifeel 'special', ajione kama yeye ndio mwanamke pekee duniani. its a hard job to love a woman but if your love comes from the heart then all else comes outomatically and you don't need kuumiza kicha on how and when to tell her you love her...you can have a million and one ways to do so at any given time.
 
Kama wanaume ndio wanaanzisha matukio mabaya, vipi katika kuleta madawa ya kienyeji na za imani potofu kwenye familia? eg. limbwata....... Je, huo ndio uvumilivu na kubeba lawama za wananume kwa wanawake?
Nadhani hujui haya mageuzi.Wanaume ndio wanaongoza kwenye shughuli hizo ciku hizi.We nenda kwa shehe yahaya utajua kuwa wanaume ndio wengi zaidi huko wanatafuta kizizi.au kwenye Taarabu wanaume wanashika kasi ya ajabui.Unafikiri hii ni dalili gani?
 
Mimi sitaki a man to tell me he loves me, I want him to love me. Mambo ya kusema "I luv u" kila mara wakati moyoni sio kweli hayapendezi. na a genuine woman anataka love tu kwa mwanaume, na sio vitu vingine. Unaweza ukapata vitu vingine sehemu yoyote, lakini sio love.

What if she is given that love and she does not reciprocate it?
 
a woman is never taken by handsome body of a man but by love, if you will love your woman completely and romantically, that is enough security for her to cleave to you until death

naturally a woman expects her man to know how to love her; she will never tell you want she wants instead she is expecting you to take her the all way of love. Don’t take for granted that you know her; keep on knowing each day and continue discovering what her heart needs.

Nimepata haya machache kwenye jarida moja hivi. Je haya ni ya kweli au ni maneno matupu tu?

hiyo ni maneno mbofumbofu
 

Leo naona umekuwa mtu wa kuguna tu!
icon10.gif
 
Nadhani hujui haya mageuzi.Wanaume ndio wanaongoza kwenye shughuli hizo ciku hizi.We nenda kwa shehe yahaya utajua kuwa wanaume ndio wengi zaidi huko wanatafuta kizizi.au kwenye Taarabu wanaume wanashika kasi ya ajabui.Unafikiri hii ni dalili gani?

Du! Kwa kuwa mimi sina source yenye kuaminika kuhusu haya mambo kama ulivyotolea mfano shehe yahya, basi siwezi kuupinga sana, wala kukubali. Japo niulize tu kuwa hii wewe umeamini kwa kusikia au umetembelea kushuhudia? Kuhusu taarab, nadhani tumuombe aliyepata kushiriki atupe uhondo na siri ya mafanikio ya huko; "Utamu wa asali aujuaye mwonjaji".
 
Yes,actions is what I want.
Sasa Bibie Charity, hizi actions zinakujaje bila maneno? Kwanza nijuavyo mwanamke anahitaji sana maneno mwanzoni bila vitendo maana mwanaume akileta sana vitendo anaonekana muuaji na hasiyekuwa na malengo ya muda mrefu
 
hehehehe................. siri zingine zinaanza kufichuka............ natamani wakuu WOS na GS wangetolea ufafanuzi hapo kwenye bold......................

lakini mpendwa noname leo umeniangusha kwa kujitambulisha hapa kuwa wewe ni mchunaji!!!!!!!!!................ halafu nakumbuka ulisema unadeka sana hata ndoo ya maji huwezi kunyanyua............... sasa si utamuua huyo kaka yetu jamani.!!!!!!!!!.... umchune fweza, halafu ahata maji akubebeee................. hata mkienda shopping yeye abebe vifurushi vyote asombe garini hadi viishe wewe unakula shushi................ ila ungepata mume wa kikurya, pangenoga utamu kwelikweli hapo nyumbani kwenu!!!!.............. hahaha................ noname bwana ................ haya bwana na huyo mzee wako naamini atafika mbinguni ...............
Sorry Akili take that back.. Mchunaji is not in my dictionary... u r not getting my point there... U know when I say I want him to make more money than I make it doesnt mean I want to spend all his money thats ofcourse not how I was brought up to be and tell you what RELAX I make enough money:)... but what I meant is I dont want him to be intimidated or feel inferior if I make more money than him... I came from family where men are always the main bread earners... so thats what I expect my husband to be... ... I will not want to be the main bread earner honestly.. I am enjoying being a normal woman... i dont wanna be super woman or an iron lady or whatever... opps may be thats why I didnt marry mkuriya..

Akili my friend get over that ndoo ya maji... we have running water here 24/7 kwa hiyo haina haja mtu kubeba maji and shopping bags if he is shopping with me yes he has to carry the bags... what the problem with that? and what is the big deal?

kuhusu asiwe bahili,,, I meant it... seriously thats the worst character a man can have and I dont think any woman would like that kind of man...
 
oooh...Noname....now tell me your name please.....:rolleyes:
thats my name...why Noname is not good enough for u?
watu hawapendi kuambiwa ukweli,,, anyway I am being nothing but a woman who can speak whats in her mind....
 
then may be i wont consider marrying him...

Marrying someone for his money. "I am in love with you big pochi." Pesa zikikatika na wewe unachanja mbuga. Huna mapenzi ya kweli wewe. Bora ujiite NO LOVE BUT GOLD DIGGER.
 
Sasa Bibie Charity, hizi actions zinakujaje bila maneno? Kwanza nijuavyo mwanamke anahitaji sana maneno mwanzoni bila vitendo maana mwanaume akileta sana vitendo anaonekana muuaji na hasiyekuwa na malengo ya muda mrefu
dia ICU,yani hata ukiniambia "I love you" mara mia lakini mfano nikiumwa haujali,au nikiwa na tatizo lolote haupo.
Pengine wewe huna muda na mimi kila siku baa au kwa marafiki zako.Na hata wakati mwingine out zako huendi nami.Hivi unategemea hizo'i love you ' zitasaidia nini?Wanawake huwa tunamuvuzishwa sana na vitendo kuilko maneno matupu.
 
love has never been enough!
since hakuna kipimo cha mapenzi, huwezi kujua kama wewe na patner wako mnapendana sawa sawa.
kuna vitu vingi vinavyochangia kudumisha mapenzi
kwa upande wangu nafikiri
mwanamme kuwa kiongozi wa nyumba kwa yote ni muhimu. he should earn more than i do ( hii nadhani inaleta respect kwenye nyumba),
asiwe mbaghili, sio kwangu tu, lakini pia we mtoa sadaka
 
Back
Top Bottom