Women , tell me why?

Women , tell me why?

Mwigulu Nchemba looks HANDSOME as always!!!!!!!!! Is he married by any chance!!!!!!!? The Dude is Hoooooooot!!!!!! Plus they say his accouts talks tooo!!!!(Walls have ears!) Im just saying!
mmmmh ahahaaa
 
HELO MKUU
NIMEKUONA LEO KWENYE KIKAO NIMECHEKA KWELI
attachment.php
ETI MKUU UPO NEC?
Kikao kilikuwa kigumu sana, huyo jamaa kulia kwangu hatukukubaliana kitu!
 
Kaa Chini Na Mke Wako umueleze kwamba unavutiwa akiwa katika HALI gani, Na jinsi anavyojiweka kwa sasa hujapendezwa naye, kama MKE wako ni Muelewa atajirekebisha, Angalia mzee ukatua NANGA kwa BEKI NYOYA a.k.a Beki Tatu lolest
 
Jiulize wewe mwenyewe why?
Yaaani nashindwa kupata jibu.
Na alipokuwa kadogo kamobiteli ilikuwa raha mustarehe, unakabeba mpaka kwa room.
Sasa michelini ndogo, halafu unafahamu tule tushepu twa pia?

Huwa namwambia beib, twende gym, lakini hakuna interest.

Tukienda harusini mbona wenzangu tumobiteli kwao tupotabo natuonea wivu,
HELP!!!
 
Mwambie ukweli kuwa ulimpenda kwa kuwaalikuwa Portable na mrembo, na sasa anakula ananenepa sana kwa hiyo husikii raha kama mwanzo, akiendelea anza kusifia wanawake wembamba mbele yake, ataona wivu na atajirudisha kama mwanzo.
 
badala ya kulalamika, wekend nenda nae madukani mnunulie vitu vizuri....

kila siku asubuhi muamshe mapemaaaaaaa mfanya mazoezi.....

hakikisha anakula matunda na mboga mboga zaidi......

na saluni uende nae...

ukimfanyia hivyo mwezi tu atakaa kwenye mstari....unaoutaka....

na wanandoa muwe mnavunja ukimya
 
laiti kama ningekuwa mm, NATEMANA NAE na hapo hapo 'mwanamke ingine akuje apa'-by Falii pupa

sasa wewe kama ndo wa 'till death do us apart', umekwisha. utagonga nje hadi 'till the end of time'
 
HELO MKUU
NIMEKUONA LEO KWENYE KIKAO NIMECHEKA KWELI
attachment.php
ETI MKUU UPO NEC?

Teheteheee!!!!!!!!!!!!!! hizo SMG zinawarudi muda si mrefu japo ritz anataka akabebe pembe za ndovu
 
laiti kama ningekuwa mm, NATEMANA NAE na hapo hapo 'mwanamke ingine akuje apa'-by Falii pupa

sasa wewe kama ndo wa 'till death do us apart', umekwisha. utagonga nje hadi 'till the end of time'
Miwaya mzee, ukifikiria tu unarudi kama kondoo!
 
Back
Top Bottom