Sukujua kumbe wewe ni KE!
Hivi nyie vipi, nimeshasema wanaume hamtakiwi au nyie mashoga?
Hivi nyie vipi, nimeshasema wanaume hamtakiwi au nyie mashoga?
nivea, hapa tuna mkakati wa kumfanyia mie na dada zangu, atuulie mama yetu kwa kisa gani khaaaaa!lol ya kweli yamewafika lol nafsi yangu mie lol kweli kikulacho kii nguoni mwako aisee ,mwambie mama ajikalie pembeni ngoma ndio ishapasuka tena akae aicheki dogodogo akiicheza ,kwa sasa,mwacheni mama asife presha bure na uyo paka pori mpeni mama moy ajitenge kabisa na huyo bwana huyo mballi na chumba amwachie la sivyo kama huyo dogodogo ndio mwingi ukimwi uko hapo mlangoni bado kuingia tu nakuambia Zinduna hakiamungu ndio sababu sitakagi shoga mie kabisaa wala sitaki wafike kwangu wataniibia mume wangu mie bora aibiwee mballi nisipopajua hapo karibu bora nimfuate lulu huko segerea khaa
kumfanyizia nani ?baba yenu? Au huyo shost? Baba rahisi tu mbona tafuteni mtu amwagie UPUPUUUU
kumfanyizia nani ?baba yenu? Au huyo shost? Baba rahisi tu mbona tafuteni mtu amwagie UPUPUUUU
anzisheni timbwili mpaka shoga ahame mji....
Then lianzisheni home au mnamwogopa mdingi? Mnamwanzishia timbwili na kuhakikisha hatoi mguu kwenda popote
sijui ninunue hiyo kesi....