Women Lounge: Shogangu kazaa na mdingi, hebu nambieni nimfanyeje huyu?

mh shosti haya mabwaku!
kina baba wa dot com hawa pasua kichwa sana!
kimsingi huyo mtoto lazima mkampime DNA,babako anajua maana ya kitanda hakizai haramu?kwani mkewe huyo?
tumpandie meli nini huyo?
 
Dah Madame B we kiboko,bora kuku aliwe na mayai yake,sio??
Hahahaaa...
BACK TO TOPIC:
Shosti Zinduna usitusahau kutuita pale utakapokwenda kumchamba huyo shetani!
Mdada hana haya,lol!!

Tenyaaaaa.....!!!!
Shosti Marry Hunbig nina hamu ya Mchambo balaa.
Afu shost huo Ubini wa baba naufananisha na wa mdada mmoja tulimaliza nae chuo.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh, kwa kweli ulistahili kupata bhange ili utiririke. Narudi, ngoja nikalipulize kwanza manake.nimeishiwa pozi.
 
:glasses-nerdy:hii haiumi sana, kama ingekuwa kinyume chake, yaani ingetokea kwa upande wa kijana wa kiume halafu rafiki wake kampa mimba mama mzazi!
 
Zinduna, kwanza uniwie radhi. Manake nimekimbia na still sina hata ushauri hapa. Nina wivu na babangu kuliko hata Paw! Yaani babangu na kaka zangu wa damu, uwiiiiiii! Nikigundua tu wanacheat naugua na ntapona kwa maombi.
Sasa mtoto? Na shosti? Ama umlete huyo shosti labda nikimuona ntajua la kufanya? Ila sitakuja hata na handbag manake naweza kumuua kwa nail cutter. Iwe beach ili nije pekua pekua, manake naweza kumtia high heels za macho! Ngoja niendelee kutafakari aisee.
 
Last edited by a moderator:
Ndio mkome kufuatilia habari zetu, haya ni mambo ya jikoni hayawahusu

Asa mbona nyie mnatufatilia sie mambo yetu..? Mkikaa salon mnatupangia mikakati kila ciku..! Ngoja na sie tuanzishe chama chetu cha kujikinga na unyapapaa toka kwa wanawake..! Lol..
 
Hewaaa, hapo umenena Da BADILI TABIA, na ndio maana nikahitaji wanwake tu kwenye hiki kibaraza, wanaume maroufouk kwa sababu watamtetea tu huyo mdingi.

Tumepanga juma lijalo tukalianzishe na mama yake akileta za kuleta tunamchapa yeye na bintiye maana mama yake amepinda mdomo kwa kuchonga na ndio maana haoleki yeye na wanaye, ya nini kutuletea laana na nuksi katika familia.
Mdingi hana hata haya, umri wote huo kukimbizana na vibinti, atafia kifuani akome.

Zindunaaaaaaaaa! ukitaka kula na kipofu usimshike mkono.
Kwanza mshikeni mama yenu kwa nguvu zote na mumuonyeshe baba kuwa hamna muda naye
pili jitahidini kuwa wakimyaaaaa kama vile hamjui nn kinaendelea na wala msimsemeshe baba yenu vibaya, mpeni heshima yake,
Huyo shoga yako usimnunie, jifanye mko pamoja na ushoga uendelee, ili baba akupende wewe akuone unampa support kumbe wewe ndiyo mbeba sumu No 1
Wewe si unawajua wanaume zake wote, Basi wewe chakufanya unajidai ni shoga yako wakati huo unamtengenezea mabomu ya kumlipua
jidai Uko pamoja na baba at the sama time uko na shoga
siku mtafutie shoga Bwana na mwambie huendi kusema kwa Baba yako , si atazoea na kuona wewe ni shogaye, Basi Hapo hapo unamlengeshea Baba akamuone.
Nakuapia Zinduna Baba akimfumania si ndiyo mwusho wa mchezo atapewa TALAKA YAKE mzee atarudi kwa mama
wewe utakuwa umeshamaliza kazi yako
Na pia najua hata mtoto pia ahtopewa matunzo tena , na wewe Hapo ndipo pa kumkatia Line, Unafunga vioo , weka kabisa Tinted

MM ndivyo napigana, vita yangu ni ya kimyaaaaaaaa lkn nashinda Always
 
Lisa, hii ndo akili niliyokuwa nayo unajua. Nilikuwa naogopa hata kuisema. Hufai wewe, salute!

Ukute huyo shakunaku mtembelea vidole yupo humuhumu anaisoma post yake.
Nyoooo na tukikukamata,utahara kama bata.
Pashkuna mkubwa we,
Mja la lakhaana,fisadi mkubwa we.
Na ungezaa na Baba yangu (r.i.p(sorry)),
Walah nakwambia hyo mimba ningeihamishia kwa Baba yako mzazi asiejulikana alipo.
Gegedu mkubwa wee.
Nakutamani.
 
Taratibu Mh. Mwenyekiti, huyo baba nae hajatulia kama Bishanga, huezi jua labda mdada wa watu shida zimemtia majaribuni! Ila mie huwa nasemaga hakuna kiumbe mbaya humu duniani kama mwanamke (mtanisamehe ila ndio ukweli) Madame B mwanamke anakuchekea huku anakuua ati. Tumenyimwaga uso wa aibu kudadadadeki!
 
Yani acha shost sweetlady.
Wanawake sisi wabaya sie acha tu.
Ukute hapo huyo baba akiwa nae siri zenu zoote za home anamwagia huyo Shetwani wa kike mchambia wima.
Aliekosa uso akapewa komwe.
Yani mie ningekuwa Zinduna,ningekuwa nishagawana majengo ya Serikali na huyo Kibibi-duka aliekosa bwana akaja zaa na Mshua anaetufanya tusiioteshe majani njia ya chooni.
Alaaa...
Nahs huyo Baba kama sio Bishanga basi ni Baba V au Dark City kama sio Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Lisa, hii ndo akili niliyokuwa nayo unajua. Nilikuwa naogopa hata kuisema. Hufai wewe, salute!

usijali king'asti mm yalishanikuta hayo nikaamua kutumia akili ya kuzaliwa nikajidai shoga wa mwanamke wa baba at the sama time niko na mdingi , basi mdingi akajua mm namsaport nikatengeneza mabomu alafu nikamtonya mdingi, alipomfumania tu mambo yakaisha na mpk leo hawajaruadiana na yule mama keshakufa.

Na hata wewe ukisikia mumeo ana mwanamke, usikurupuke, mtizame adui yako ana silaha gani, nn anachojitambia , inakuwa rahisi sana kumaliza kwa kutumia akili kuliko maneno na kelele. maana ukipiga kelele atakuwa anajua una mbinu gani. Lkn ukikaa kimyaaaaaaaaaaaa atakuwa anaogopa na kujiuliza unataka kumfanyia nn.
 
Yani acha shost sweetlady.
Wanawake sisi wabaya sie acha tu.
Ukute hapo huyo baba akiwa nae siri zenu zoote za home anamwagia huyo Shetwani wa kike mchambia wima.
Aliekosa uso akapewa komwe.
Yani mie ningekuwa Zinduna,ningekuwa nishagawana majengo ya Serikali na huyo Kibibi-duka aliekosa bwana akaja zaa na Mshua anaetufanya tusiioteshe majani njia ya chooni.
Alaaa...
Nahs huyo Baba kama sio Bishanga basi ni Baba V au Dark City kama sio Asprin.
Hahahaha! Wanawake wabaya mpendwa , kama huyo rafikie Zinduna lol, anaenda kwa mama Zinduna shikamoo mama! Mama wa watu anaitika marahaba mwanangu, karibu nyumbani lol. Anamchoraaaa kudadadeki! Inauma asee acha mama wa watu presha ipande.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Wanawake wabaya mpendwa , kama huyo rafikie Zinduna lol, anaenda kwa mama Zinduna shikamoo mama! Mama wa watu anaitika marahaba mwanangu, karibu nyumbani lol. Anamchoraaaa kudadadeki! Inauma asee acha mama wa watu presha ipande.

Acha tu mmama wa watu apate presha.
Sie wanawake wabaya sana.
Yani kama namuona vile mdingi anavyochezea vichuchu na vita.ko vya shoga angu,
akirudi home mkali kama pilipili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom